Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boti ya kupambana na wahalifu yazinduliwa

Mkuu wa Wilaya ya Muleba Kagera, Lambris Kipuyo jana alizindua boti iendayo kasi ambayo itafanya kazi ya kupambana na majambazi katika visiwa vya Mazinga na Ikuza vilivyoko Ziwa Victoria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU WA UNAOLENGA MALIASILI WATOA MICHANGO YAO KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI.

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla.Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu...

 

11 years ago

Mwananchi

TCRA yasema haikamati wahalifu

Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi na mashirika kutoa taarifa za uhalifu kwa Jeshi la Polisi kila wanapobaini uhalifu katika mawasiliano yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Balloteli akerwa kufananishwa na wahalifu

Kuanzishwa kwa juhudi mpya za utafutaji wa ndege katika Bahari ya Hindi huenda kukatoa sura mpya ya matumaini hasa kutokana na ripoti kuwa huenda ndege hiyo ilibadilisha mwelekeo wa safari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi walaumiwa kulinda wahalifu

JESHI la Polisi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam limeshutumiwa kuwa limeshindwa kudhibiti vitendo vya uuzaji dola bandia karibu na Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam. Baadhi ya mashuhuda...

 

5 years ago

StarTV

Bodaboda watakiwa kuwafichua wahalifu.

JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya limeutaka umoja wa wafanyabiashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina bodaboda wilayani Tarime mkoani mara kuwafichua waendesha pikipiki wanao fanya vitendo vya uharifu nyakati za usiku ukiwemo ubakaji wa wanawake na kukimbia na pesa za chenchi za wateja. kauli hiyo imetolewa na …

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kova awachimba mkwara wahalifu



NA FURAHA OMARYPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewatangazia kiama wahalifu, ambapo imeamua kuwasaka kwa kutumia helkopta, baada ya kupata taarifa kwamba wamekimbilia mpakani mwa mkoa huo na wa Pwani.
“Tunaendelea na operesheni kali dhidi ya wahalifu, kwani tumepata taarifa kwamba kuna wahalifu wamekimbilia mpakani mwa Mkoa wa Dar es Salaam na  Pwani,” alisema Kamishna wa Kanda hiyo, Suleiman Kova.
Kamishna Kova aliyasema hayo mjini Dar es Salaam, alipozungumza na Uhuru kuhusiana na...

 

11 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Polisi Wa  kuzuia uhalifu Mtandao. Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.


Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani