Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni Katiba ya kuongoza au ya kutawala?

KUTAWALA na kuongoza ni vitu viwili ambavyo aghalabu hufananishwa kimakosa, hivi ni vitu vilivyo tofauti kabisa, naweza kusema vimetizamana bila kuwa na mkabala mwema. Sababu kutawala ni kwa mabavu, penda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sitta yu msalabani, kuongoza Bunge Maalumu la Katiba?

>Mkanganyiko pekee na uliobakia kwa Watanzania  wakiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni viporo kwenye kanuni za 37 na 38, vinginevyo hali ya hewa ndani ya Bunge hilo imetulia.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuni za kuongoza #Bunge la #Katiba zawasilishwa, porojo za kupoteza muda sasa marufuku [VIDEO]

BUNGE maalum la Katiba limekutana leo mjini Dodoma kwa ajili ya kujadili kanuni mbalimbali zitakazotumika kuliendesha Bunge hilo katika vikao vyake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali haina nia ya dhati katiba mpya

HIVI sasa taifa liko kwenye hofu ya kushindwa kupata katiba mpya, baada ya mchakato wake kuingia dosari kutokana na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge. Kitendo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘CCM haina nia ya kutunga katiba ya wananchi’

MRATIBU wa Mtandao wa kufuatilia madeni ya Serikali (CDD), Hebron Mwakagenda, amewashambulia wabunge na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa wanakusudia kutunga Katiba ya Chama Cha Mapinduzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kona ya Makengeza: Tanza-nia isiwe Tanzia-nia

Jana nilipokuwa nakaa kwenye foleni za maendeleo hapa Bongo na kuangalia full mchepuko wa watu kama kawaida, nikaanza kujiuliza huko makao makuu pasipo na makazi makuu hakuna foleni? Maana wenye nia ni wengi, na wafuasi wao ni wengi, na wapambe wao ni wengi, hakuna foleni kweli huko?

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa wahamiaji kutawala mkutano wa EU

Ujerumani na mataifa mengine yatashauriana na Uturuki jinsi ya kuwapa makao maelfu ya wakimbizi wa Syria kabla ya mkutano wa mwisho wa mwaka wa viongozi wa mataifa wa Umoja wa Ulaya.

 

11 years ago

Habarileo

Taarifa ya CAG kutawala Bunge

MKUTANO wa 14 wa Bunge unaendelea leo huku taarifa ya ukaguzi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na taarifa nyingine za kamati, zikitarajiwa kutawala mkutano huo.

 

9 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 1

Kwa muda mrefu nimezungumzia juu ya namna ya kupata mafanikio. Nilianza kwa kueleza namna mtu anavyoweza kutumia muda vizuri ili kupata mafanikio. Hapa nikasisitiza juu ya kuwa mshindi au bingwa wa kutumia muda na siyo kusema; ‘muda si rafiki.’

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Simba ajinasibu kutawala soka.

Kocha mpya wa Simba, Muingereza Dylan Kerr amesema ana imani timu ya Simba itakuwa tishio msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani