Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIKIIANGALIA ZANZIBAR; BADO WATANZANIA TUPO MAJARIBUNI

Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere. HAKIKA Mungu ni mwema na anastahili kuhimidiwa milele. Nasema hivyo kutokana na hali ya usalama na amani ambayo ipo nchini kwa sasa. Wengi kabla ya uchaguzi mkuu tulikuwa na wasiwasi na tulikuwa tukikesha tukiombea nchi amani, Mungu ametusikia. Lakini jambo moja la wazi ni kwamba mgogoro wa Zanzibar unaumiza vichwa watu wote wanaoitakia mema nchi hii na tukiri kuwa tupo majaribuni. Kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bado tupo na Profesa Kitila, Mwigamba — ACT

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACTTanzania), Shabani Mambo Shabani akizungumza na vyombo vya habari wakati wa Mkutano wa Halmashauri kuu ya chama ilipokutana Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Samson Mwigamba. (Picha na Mroki Mroki).CHAMA cha Siasa cha Mabadiliko na Uwazi (ACT-Tanzania) kimesema mkutano wa iliyojiita Kamati Kuu ya chama hicho na kutengua uongozi na uanachama wa Katibu Mkuu, Samson Mwigamba na Mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo, haukuwa na uhalali.

 

10 years ago

Habarileo

TACAIDS: Watanzania bado hawana uelewa wa ugonjwa wa Ukimwi

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume hiyo, Dk Fatma MrishoTUME ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema kuongezeka kwa matumizi ya tiba mbadala katika ugonjwa wa Ukimwi kunatokana na zaidi ya asilimia 50 ya watanzania licha ya kusikia kuhusu ugonjwa huo, bado hawana uelewa wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo Ligi Kuu England majaribuni

Vigogo karibu vyote kwenye Ligi Kuu England vitakuwa majaribuni leo kwenye viwanja tofauti, vikiwa na malengo tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Rodgers, Mourinho w yatiwa majaribuni upya England

Baada ya kucheza kamari ya kuchezesha kikosi dhaifu dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers yupo kikaangoni tena leo dhidi ya Chelsea saa 9:45 jioni.

 

10 years ago

Habarileo

Simba bado Zanzibar

SIMBA jana ilishindwa kuonesha makali yake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Zanzibar bado hakieleweki

Dalili za kufanyika kwa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar na wawakilishi zinaonekana kuwa finyu kutokana na kutokuwapo maelekezo yoyote ya kuitaka Tume ya Uchaguzi (ZEC) kuanza kuuandaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya Zanzibar bado kujulikana

Waswahili husema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Msemo huo unaweza usiwe na maana kwa watu wengine, lakini siyo wananchi wa Zanzibar, waliojikuta wakipoteza ndoto ya kumpata rais waliyemchagua baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 visiwani humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar bado kuelekea uchaguzi huru

MARA nyingi nimeeleza kupitia gazeti hili na vyombo vingine vya habari kuwa licha ya kutolewa ahadi nyingi za kuwa na uchaguzi huru na wa haki, bado Zanzibar inayo safari ndefu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani