Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nilifanya kazi mpaka nikapoteza fahamu–Nisher

nisher location

Muongozaji wa video, Nisher ameeleza jinsi alivyofanya kazi kupita kiasi ndani ya mwaka 2013/2014 hali iliyomsababisha kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.

nisher location

Nisher ambaye kwa sasa yupo mapumziko, amekiambia kipindi cha Mkasi cha EATV kuwa, hali hiyo ilisababisha familia yake imshauri apumzike.

“Nilikuwa nafanya kazi sana kuanzia mwaka 2012, 2013 mpaka 2014 mpaka kuna kipindi nilizimia nikiwa naedit video. Nikaanguka chini next time naamka nakuta nipo hospitali nimetundukiwa drip naambiwa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Fahamu athari za uvuvi wa mabomu

TANZANIA  inasifika duniani kwa mazingira yake ya bahari ambayo imeiweka kwenye ramani miongoni mwa nchi maarufu. ”Uvuvi  wa mabomu unaharibu mazingira ya chini ya bahari ambayo huwezesha samaki kuzaana na...

 

10 years ago

Mwananchi

MAAFA: Donald: Niliokoa wajukuu 50, nikapoteza watano

Kahama. “Kwanza nilikuwa nakwenda Didia Ruhumbo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini nikajaza mafuta kwenye gari yangu, lakini nafsi yangu iligoma nikarudi nyumbani nikapaki gari nikawa nimetulia…,” anasema mkazi wa Kijiji cha Mwakata, Donald Lubunda (64), baba mwenye familia ya watu 70.

 

10 years ago

GPL

MH. NASSARY ASHIRIKI KAZI ZA MIKONO NA WANANCHI KWA UJENZI WA BARABARA YA SAWMILL- USHILI MPAKA SURA, ARUMERU MASHARIKI

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura. Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Nassary ashiriki kazi za mikono na wananchi kwa Ujenzi wa barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura,Arumeru Mashariki

 Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.Kazi ikiendelea.
Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nisher amzawadia tuzo baba yake

BAADA ya kushinda katika Tuzo za Watu 2014 zinazoandaliwa na mtandao wa Bongo5, mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nisher, ameamua kumkabidhi baba yake mzazi tuzo hiyo. Nisher, ni...

 

10 years ago

GPL

NISHER ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO

Producer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher kabla ya mahojiano na Global TV Online. Nisher akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

10 years ago

Bongo5

AY kushoot video ya ‘Zigo’ Zanzibar na director Nisher

AY ni miongoni mwa wasanii ambao wamekuwa wakifanya video zao nyingi nje ya Tanzania na madirector wa nje, lakini mwaka huu ameamua kufanya video ya single yake mpya hapa hapa nyumbani na director wa hapa. Ambwene Yessaya a.k.a AY amesema kuwa video ya wimbo wake mpya ‘Zigo’ itafanyika Zanzibar, na itaongozwa na director Nisher. Akizungumza […]

 

10 years ago

Bongo5

Nisher atayarisha ngoma mpya ya Fid Q ‘Bendera ya Chuma’

Nisher ni mtu mwenye vipaji vingi. Zaidi ya kuongoza video (kitu kilichompa umaarufu zaidi), Nisher pia ni muimbaji mzuri wa R&B na mtayarishaji wa nyimbo na zote anavifanya katika level ya ‘upro’. Hivi karibuni ametayarisha wimbo mpya wa Fid Q uitwao ‘Bendera ya Chuma’. “Nimeproduce kila kitu, music, everything nikamtumia akapenda. Nimemtupia catalogue ya nyimbo […]

 

9 years ago

Bongo5

Nisher anena haya kuhusiana na waongozaji wa video wa Bongo

Nisher tuzo

Mshindi wa tuzo ya muongozaji wa video anayependwa katika Tuzo za Watu mwaka 2014, Nisher ametoa tathimini yake kuhusu hatua walizopiga waongozaji wa video wa ndani wakati yeye akiwa katika mapumziko.

nisher intro

Nisher amepongeza waongozaji wachanga kwa kudai ndio wamefanya kazi kubwa.

“Nawamwagia sifa nyingi sana madirector wachanga wote wa kwanza akiwa Khalfan akifuatiwa na Joowzey kwa ajili ya kazi kali mwaka huu,” Nisher ameiambia Bongo5.

“Nafurahi kuona watu wanaendeleza harakati zangu!. Hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani