Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini kipo nyuma ya Escrow?

BUNGE la bajeti lililomaliza vikao vyake jana mkoani Dodoma, ununuzi wa Kampuni ya IPTL kwenda kwa Kampuni ya PAP ambayo ilipewa sh. bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow zilizohifadhiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

EMMANUEL, FLORA MBASHA NINI KIPO NYUMA YENU?

KWENU,
Emmanuel na Flora Mbasha. Naamini afya zenu zipo sawa na mnaendelea kuhangaika na maisha ingawa kuna changamoto zimeingia kati yenu. Napenda kuwahakikishia kuwa, hayo ni mapito tu. Yataisha. Naandika barua hii hasa kwa msukumo wa imani yangu ambayo nanyi mnaiamini. Kwangu mimi kama Mkristo, ninyi ni viongozi wangu wa kiroho. Sina shaka na hilo hata kidogo. Ni viongozi wa Wakristo wengi ndani na nje ya nchi. Nasema hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania unafanya nini sakata la Tegeta Escrow?

Kwa mara nyingine tena, Serikali ya Tanzania imeingia doa mbele ya wananchi wake pamoja na wahisani wa maendeleo.

 

9 years ago

Vijimambo

MTABIRI: KIFO CHA MGOMBEA URAIS KIPO PALEPALE

Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya.Na Gladness MallyaMTABIRI maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ameibuka na kusema kwamba utabiri aliowahi kuutoa kwamba kuna mgombea urais atafariki, bado upo palepale.Akipiga stori na gazeti hili, Maalim Hassan alisema kuugua ghafla kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ni dalili tu za ukamilifu wa utabiri wake lakini suala la mgombea urais kudondoka na kufa akiwa jukwaani akifanya kampeni linakuja.“Kuugua kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MPOGOLO -WANAOPIMANA UBAVU NA JPM WAMECHEMSHA NA CHAMA KIPO IMARA HAKIJATIKISIKA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
NAIBU Katibu Mkuu Taifa,CCM Rodrick Mpogolo ,amewapa salamu wapinzani wa ndani ya Chama ama wa Vyama vingine vya upinzani wamuache Rais dk.John Magufuli afanye kazi na amewashangaa wanaojaribu kupimana nae ubavu ,wajue wamechemsha.
Pamoja na hilo ,ameeleza mabalozi wa chama ndio mpango mzima na mashina ndio nguvu ya chama hivyo kuna kila sababu ya kuwaheshimu na kuwathamini mabalozi hao katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jimbo...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA A TO Z KIPO MBIONI KUTENGENEZA VAZI LA WATAALAMU WA AFYA LA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO



amanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akipokea barakoa 2000 kwa ajili ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha zilizotolewa na Kampuni ya A to Z ya mkoani hapa ikiwa ni kuendeleza Juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wakifuatilia hafla ya kupokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure

Mwandishi wa vitabu, JK Rowling anatoa kitabu kipya cha Harry Potter kupitia mtandaoni na kitakuwa cha kusoma bure. Kitabu hicho kitaendelea na historia ya familia ya kichawi ya Porter katika karne ya 12. Kitapatika kwenye tovuti ya Pottermore.com. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

10 years ago

Michuzi

kitabu cha Padre Privatus Karugendo cha "Mazungumzo na January Makamba kuhusu ‪Tanzania Mpya‬" kipo mitaani

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akisaini kitabu cha Mazungumzo na January Makamba kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba baada ya kumpatia kitabu cha "Mazungumzo na January Makamba" kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam. Mengi kuhusu kitabu hicho utapata BOFYA HAPA

 

9 years ago

Habarileo

‘Hatutarudi nyuma kukabili maovu’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache. Aidha, amesema watu wanaoamini kuwa uongozi wao na Rais John Magufuli hauwezi kupambana na maovu na kuondoa kero zinazowaumiza wananchi wa kawaida na kwamba utawala wao ni wa watu wapole, waondoe dhana hiyo.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kamata, shika nawe nyuma!

UKIWAANGALIA Watanzania wa leo, fikra, nyuso na hisia zao, utaona wazi kuwa iko kiu ya kutaka mabadiliko. Wamechoka na mazoea waliyokuwa nayo, ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.

Kila mtu anatamani mambo yaachwe kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala inayoweza kuwa na matumaini. Katika hali hii, unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemchem na chachu ya mbadiliko.

Bahati mbaya kwetu ni kwamba, tunataka na kutamani mabadiliko lakini hatuko tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani