Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niyonzima, Twite waanza kuchanga karata zao

Mbuyu-TwiteharunaaJENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WACHEZAJI wa Kimataifa wa Yanga, Haruna Niyonzima na Mbuyu Twite, wameanza kuchanga karata zao kuelekea katika msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2014/2015, wakijiwekea malengo ya hatima yao katika soka.
Niyonzima, ambaye mkataba wake umebakiza mwezi mmoja kwisha, amedai kwa klabu yake ya Yanga dau la dola Elfu 50, sawa na Sh milioni 100 za Tanzania, ili kuingia mkataba mpya wa kuichezea klabu hiyo msimu ujao, wakati Twite yeye ametua nchini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

MillardAyo

PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya mastaa wa muziki kuonekana hadharani au katika mitandao ya kijamii wakiwa na wapenzi wao, inawezekana pia umewahi kuwasikia au kuwaona mastaa mbalimbali wa soka Tanzania lakini hujawahi kupata nafasi ya kuwaona wakiwa na wake zao. Leo February 17 2018 naomba nikusogezee upande wa pili wa maisha binafsi ya mastaa […]

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AZIDI KUCHANGA MBUGA MKOANI TABORA

  Magufuli akiwa katika Jimbo la Ulyanhulu. Magufuli akiomba kura kwenye Jimbo la Kaliua. Magufuli akiomba kura Jimbo la Urambo.…

 

11 years ago

Habarileo

Wagoma kuchanga Sh 500 kuwezesha chakula shuleni

SHULE 27 za msingi katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, zimetishiwa kuondolewa wenye mpango wa kupatiwa chakula shuleni unaoendeshwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kutokana na wazazi kugoma kuchangia kati ya Sh 500 na Sh 1,000 kwa mwezi ili watoto wao wapate chakula shuleni.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo. Anaandika Dany Tibason … (endelea).Fedha, hizo zimepatika baada ya wabunge 113 wa Ukawa kuchangishana kiasi Sh. 300,000 kila mmoja ambazo zitakabidhiwa familia

 

11 years ago

GPL

Twite: Kifo kimenibakiza Yanga

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi
BEKI kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite, ametaja sababu moja ya yeye kusitisha mpango wake wa kusaini Azam FC na kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Jangwani. Awali mshambuliaji huyo alitajwa kuwepo katika orodha ya wachezaji ambao wangesaini kuichezea Azam FC baada ya timu hiyo kumnasa mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbagu na kiungo Frank Domayo, kufuatia...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Twite milioni 40

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika  na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...

 

11 years ago

GPL

TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani