Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njombe:World Benki,Tamisemi watembelea stendi na soko,wakutana na changamoto






Na Amiri kilagalila,Njombe

Timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia na Ofisi ya Rais TAMISEMI imekagua mwenendo wa shughuli za ujenzi wa soko na stendi halmashauri ya mji wa Njombe ikiwa ni hatua za mwishoni kuelekea kumalizika kwa programu hiyo inayofadhiliwa na benki ya Dunia na kukagua mapendekezo ya mradi mpya wa barabara zinazotarajiwa kuingizwa kwenye mpango katika Programu zijazo.

Changamoto kubwa iliyobainika katika utekelezaji wa miradi hiyo ni kuchelewa kwa msamaha wa kodi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Njombe:Wataalamu wazunguka Stendi,Sokoni kutoa elimu ya virusi vya Corona


Na Amiri kilagalila,Njombe

Kufuatia uwepo ugonjwa wa virusi vya Corona nchini Tanzania,halmashauri ya mji Njombe imeanza kutoa elimu kwa wananchi wa halmashauri hiyo ili kuweza kuchukua hatua stahiki za kuepukana na maambukizi zaidi ambapo Idara ya afya imeanza kutoa elimu katika maeneo ya stendi,masoko,taasisi za kifedha na hoteli kuhusu dalili na njia za kujikinga na virusi hao.

Mganga mkuu wa halmashauri ya mji wa Njombe Dkt.Yesaya Mwasubila amewataka wananchi kuhakikisha kuwa wananawa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMISEMI kuanzisha benki ya maendeleo, bilioni 50 kutumika

KAMATI YA KATIBA YA BUNGE_

Mjumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, George Lubeleje ( wa tatu kulia).Picha na Maktaba.

Na Mwandishi wetu

Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inatarajia kuanzisha Benki ya maendeleo ya Serikali za Mitaa  ambayo pamoja na mambo mengine Jukumu lake la Msingi litakuwa ni Kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwenye Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na Mapato ya Halmashauri ili kujiletea Maendeleo ndani ya Halmashauri na...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI akagua hali ya mazingira ya soko la Temeke Sterio, jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba (aliyetangulia) akikagua machinjio ya kuku jana katika soko la Temeke Sterio Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw. Photidas Kagimbo (wa pili kushoto) akimwongoza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba(katikati) kukagua soko la...

 

5 years ago

Michuzi

KUDHIBITI UTOROSHWAJI WA MADINI SOKO LAZINDULIWA MKOANI NJOMBE

Na Amiri kilagalila, NjombeSERIKALI mkoa wa Njombe imezindua soko la uuzaji wa madini ya dhahabu na vito kwa nia ya kudhibiti wimbi la utoroshaji wa madini uliokuwa unafanywa na wachimbaji waliokuwa wakikwepa kulipa mapato ya serikali.
Akizungumza katika uzinduzi huo mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amesema kuwepo kwa soko hilo la madini itasaidia wachimbaji hao kutumia fursa na njia zilizosahihi kulipa mapato kwa serikali.
“Kuanzisha soko la madini katika mkoa wetu inakuwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

kikao cha pamoja baina ya TAMISEMI, Benki ya Dunia, DANIDA na watendaji kutoka halmashauri

Na: Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.  Halmashauri za majiji na manispaa zimehimizwa kutunza na kuhifadhi miradi yote ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo yao na kuhakikisha inadumu kwa manufaa ya kizazi cha leo na kijacho.  Kauli hiyo imetolewa mapena hivi leo na Zuberi Samataba, Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika hoteli ya Gold Crest Jijini Mwanza wakati wa kikao cha pamoja baina ya TAMISEMI, Benki ya Dunia (World Bank)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Manufaa, changamoto za Soko la Pamoja Afrika Mashariki

JULAI Mosi, mwaka 2010 Mataifa ya Afrika Mashariki  yalikubaliana kuanzishwa kwa Soko la pamoja la Afrika Mashariki  baada ya wakuu wa nchi hizo wanachama; Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO



NA DENIS MLOWE,IRINGA

STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.

Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA EAC WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO

 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam leo  Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani