Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB MOSHI WATOA KIFUNGUA KINYWA KWA WATEJA WAO

Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Moshi mjini wa wakipata kifungua kinywa katika tawi la Benki hiyo leo asubuhi.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Moshi mjini wa wakipata chai ya asubuhi iliyoandaliwa na matawi ya Benki hiyo ya Nelson Mandela na Mawenzi yaliyopo mjini Moshi,Mmoja wa wafanyakazi wa Benki hiyo akisaidia kutoa huduma ya chai kwa wateja waliofika katika tawi la Nelson Mandela kwa ajili ya kupata kifungua kinywa leo Asubuhi.Mwakilishi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,AMOS MAKALLA ASHIRIKI KIFUNGUA KINYWA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA WATEJA WA BENKI YA NMB TAWI LA NELSON MANDELA-MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos  Makalla leo asubuhi ameshiriki kifungua kinywa na wafanyakazi na wateja waNMB Tawi la Moshi na kuipongeza benki ya NMB kwa kuwa benki 10 bora Afrika mashariki, benki inayoongoza kwa kuwa na matawi mengi nchini, benki inayoongoza kwa kutengeneza faida na kusaidia jamii, benki ya riba na gharama nafuu nchini na benki yenye  huduma bora kwa wateja nchini.


Pamoja na mafanikio hayo ameishauri benki hiyo kuendelea kuwa wabunifu wa bidhaa na kuendeleza huduma bora...

 

10 years ago

Vijimambo

KIFUNGUA KINYWA CHA EID EL FITR NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN KARIBU SAA 2 ASUBUHI

Asalam alekum tuna tegemaa kunywa chai ya Eid Al fitr kesho Brooklyn NY 11208 341 LOGAN ST  Saa 2 asubuhi  mnakaribishwa nyote kufika kwako ndio furaha yetu Asante sana.

 

9 years ago

Vijimambo

NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia).Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa.Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza...

 

9 years ago

Michuzi

“Afya bora inaanza na kifungua kinywa bora” wito kutoka hospitali za Apollo kwenye siku ya kisukari duniani 2015

Dk. Bhuvaneshwari Shankar, Mkuu wa idara ya lishe kutoka hospitali za Apollo.
Na Mwandishi Wetu,
Novemba 14 kila mwaka tunaadhimisha siku ya kisukari duniani ili kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kisukari, matatizo yanayoletwa na huu ugonjwa na taarifa muhimu kuhusu kisukari.
Siku hii inabeba ujumbe mahususi kwa watu wote ulimwenguni. Kauli mbiu katika siku hii tokea 2014 hadi 2016 ni maisha bora na kisukari(healthy living and diabetes) na mwaka huu kuna mtazamo zaidi katika kuzingatia ...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA WATEJA WA BENKI YA NMB NA UMMA KWA UJUMLA

Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye malengona dira ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania,Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani