Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB yasaidia vifaatiba Amana, MNH

Benki ya NMB imetoa misaada ya vifaatiba mbalimbali kwa Hospitali za Amana na Muhimbili(MNH), ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za ufunguzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo,Barabara ya Mandela, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NMB yasaidia waliokumbwa na mafuriko

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa jimbo la Msalala, katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA KITUO CHA WALIMU TEMEKE

Meneja wa kanda ya Dar es salaam NMB, Bw. Salie Mlay akikabidhi kompyuta kwa Afisa elimu manispaa ya Temeke Bi. Honorina Mumba kwa ajili ya kituo cha walimu wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msaada huu wa kompyuta mbili pamoja na mashine ya kuchapisha karatasi (Printer) vimetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya mafunzo yanayotolewa kwa walimu katika wilaya hii.Hafla ya makabidhiano ilifanyika juzi jijini Dar es salaam. Akishuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa kituo hicho cha walimu...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO - WILAYANI HAI-KILIMANJARO

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki lililopita.
Benki hiyo imetoa vitu mbalimbali vikiwemo unga, maharage, magodoro na sementi vyenye gharama ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo lililowaacha mamia ya Watanzania bila makazi huku mali zao zikiharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Akikabidhi msaada huo kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB MBEYA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MADAWATI MASHULENI.

 Meza kuu ikiwa na wageni mbali mbali waalikwa waliohudhuria hafla ya kukabidhi madawati kwa Shule tatu za Jiji la Mbeya kutoka benki ya NMB Mbeya. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio wakiwa wamekalia madawati ambayo yametolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za juu kusini, Lecrisia Makiriye, akitoa taarifa ya msaada wanaokabidhi katika hafla iliyofanyika shule ya Msingi Azimio. Mstahiki wa Jiji la Mbeya, Atanus Kapunga, akipokea Msaada wa madawati...

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB YASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA AFYA TUNDUMA


Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yasaidia vifaa vya ujenzi kituo cha Afya Tunduma

Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

11 years ago

Mwananchi

Misri waisaidia Muhimbili vifaatiba

Idadi ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili huenda ikapungua baada ya hospitali hiyo kupewa vifaa tiba kutoka Serikali ya Misri vitakavyotumika kutoa matibabu kwa wingi na haraka.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhaba vifaatiba waitikisa benki ya damu Tanzania

 Uhaba wa dawa na vifaatiba umeitikisa ‘Benki ya Damu Tanzania’, kwani haina vitendanishi (reagents) vya kutosha kwa ajili ya kupima usalama wa damu inayokusanywa kutoka wachangiaji mbalimbali na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani