Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF kumwaga nyumba Yanga 

KLABU ya Yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba za Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya wachezaji wake kupitia program maalumu. Akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubalinao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NSSF YATANGAZA BEI YA KUPANGISHA NYUMBA ZAKE


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limetangaza bei ya nyumba zake ambazo zimepitishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali kuwa kodi ni kati ya Sh. 250,000 mpaka Sh. 500,000.

Kwa mujibu wa NSSF ni kwamba kutokana na kodi hiyo mteja anaweza kulipa kuanzia mwezi mmoja, miezi mitatu hadi mwaka kutegemeana na aina ya nyumba anayotaka kupangisha.

Akizungumza  alipotembelea mradi wa nyumba Dungu uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA UJENZI WA NYUMBA ZA NSSF KIGAMBONI

Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda (wa tatu kulia) akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akisalimiana na baadhi ya wataalam wa ujenzi wa nyumba hizo unaofanywa na Shirika la NSSF katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Bibi...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAKABIDHI NYUMBA KWA WASANII WA ORIJINO KOMEDI

Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu walizokopeshwa wasanii  wa kikundi hicho na NSSF wakati wa hafla fupi ya kukabidhi wasanii hao zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam hivi karibuni, mkopo huo utalipwa kwa kipindi cha miaka 15. (Na Mpiga Picha Wetu)Baadhi ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la...

 

10 years ago

Michuzi

JK ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF KIJICHI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64 toka kuzaliwa...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF

KLABU ya yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba kwa ajili ya wachezaji wake  na  Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa  uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC

PG4A1322

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1354

PG4A1494

PG4A1537

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1743

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF KIJISCHI, DAR ES SALAAM

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi (wa pili kulia), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, alipotembelea mradi wa nyumba zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo. Makamu wa pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Udhaifu wa Al Ahly, usiwahadae Yanga 

TANZANIA imesaliwa na timu moja tu ya Yanga katika medani ya kimataifa, baada ya Azam iliyokuwa ikishiriki Kombe la Shirikisho kuishia raundi ya awali kama ilivyo kwa KMKM na Chuoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kocha mpya Yanga atoa masharti matatu

KOCHA mpya wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluyjm, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuzingatia mambo matatu muhimu katika kupigania mafanikio ya timu hiyo  dimbani ambayo ni nidhamu, upendo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani