Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYALANDU- TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO

DSC_0089Pichani juu na chini ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewji blog).DSC_0082DSC_0096Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akifafanua mazungumzo na wadau...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO - NYALANDU

DSC_0089Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.DSC_0135Naibu Waziri wa Maliaisli na Utalii, Mahmoud Mgimwa akitoa salamu kwa wadau wa taasisi za kirai. Kushoto Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tembo kutoweka Tanzania miaka 10 ijayo — Nyalandu

DSC_0089

Pichani juu na chini ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewji blog).

Na Modewji blog team

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema...

 

10 years ago

GPL

NYALANDU‏: TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.…
...

 

11 years ago

Habarileo

Tembo hatarini kutoweka

TANZANIA inapoteza tembo 39 kila siku kutokana na matukio ya ujangili. Hali hiyo inatishia uwepo wa tembo hao ifikapo mwaka 2026.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tembo, faru hatarini kutoweka

VITENDO vya ujangili vinavyoendelea kushamiri nchini, vimechangia taifa kukumbwa na hatari ya kutoweka kwa wanyamapori wakiwemo tembo na faru. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Profesa Davis Mwamfupe wa Chuo...

 

10 years ago

Vijimambo

SABABU 4 ZA KIJANA HUYU KUWEZA KUONGOZA TAIFA LA TANZANIA MIAKA 5 IJAYO

SABABU NNE WANAZOSIMAMIA WANANCHI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO(2015-2025) NI MWIGULU NCHEMBA. Na,Julius Mathias.
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amebainisha sababu nne zinazowafanya wananchi wampendekeze kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Nchemba aliyasema hayo jana kwenye mahojiano
wakati wa kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV kuhusu tafiti zinazofanywa juu ya kukubalika kwa baadhi ya watia nia ya urais miongoni mwa wananchi wanaomtaja.
...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo

>Serikali imesisitiza kurejea kwa Operesheni Tokomeza Ujangili, ikitangaza kuwa tembo 13,000 tu ndio waliosalia katika Mbuga za Wanyama za Selous na Mikumi ambapo wanyama hao wamepungua kwa asilimia 66, sababu kubwa ikiwa ni ujangili.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Hakuna tembo aliyeuawa Selous karibuni

Serikali imesema vita vya kupambana na ujangili vinaonyesha mafanikio katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita na hakuna taarifa za kuuawa kwa tembo katika Pori la Akiba la Selous.

 

11 years ago

Michuzi

MHE. LAZARO NYALANDU MGENI RASMI MIAKA 4 YA VIJIMAMBO PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN USA

Vijimambo kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani na kukemea ujangili wa mali asili wa nchi yetu siku ya September 13, 2014 itakayofanyika THE OXFORD EVENT CENTER 9700 Martin Luther King Jr HWY, Lanham, MD 20706. kutakua na burudani za kila aina kutoka nyumbani na hapa Marekani TEGA SIKIO MAMBO MENGI MAZURI YANAKUJA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani