Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYALANDU azima marufuku magari ya Tanzania JKIA

10

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu.

Na Mwandishi wetu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania.

Marufuku hiyo ya Kenya kwa magari ya Tanzania,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Trafiki marufuku kuvizia magari

SERIKALI imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Utumizi wa magari Nigeria

Jeshi la Nigeria limepiga marufuku utumizi wa magari kwa siku tatu katika jimbo la Borno kazkazini lihofia shambulizi.

 

11 years ago

Habarileo

Magari ya vioo vya giza marufuku Kenya

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo, ameagiza kukamatwa kwa magari yote ya abiria yenye vioo vya giza. Lengo la hatua hiyo ni kudhibiti uvamizi na mashambulizi ya mara kwa mara, yanayofanywa na vikundi vya kigaidi kutoka nchi jirani ya Somalia.

 

5 years ago

Michuzi

MARUFUKU KUOSHEA MAGARI ENEO LA NDIUKA.-RC HAPI


Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa katika eneo la Ndiuka ambako ndio chanzo cha maji yanayotumiwa na wakazi wa manispaa ya Iringa kwa kiasi kikubwa yanazalishwa hapo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akieleza jambo kuhusiana na marufuku aliyoitoa

FREDY MGUNDA,IRINGA.


KUTOKANA na uchafunzi wa Vyanzo vya maji,Afya za wananchi wapatao laki 1.78 wanaoshi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na pembezoni mwa mji ziko hatarini kukumbwa na magonjwa mbalimbali.

Hayo yamebainika...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu akabidhiwa magari ya kusaidia kampeni ya kutokomeza Majangili wa mauaji ya Tembo

1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri Manispaa ya Ilala yapiga marufuku Jeshi la Polisi na Tambaza Action Mart kukamata magari ya tani 3

m1

Meya wa Manispaa ya Ilala Bw. Jerry Silaa akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani (hawapo pichani).

Tamko la Manispaa ya Ilala

Halmashauri ya manispaa ya Ilala kupitia kikao chake cha Baraza cha tarehe 12/9/2014 imepiga marufuku vitendo vinavyofanywa na halmashauri ya jiji la Dar es salaam na mawakala wake wa Tambaza auction mart na askari wa jeshi la polisi kuwakamata wananchi wenye magari ya mizigo ya chini ya tani tatu na robo na kuwakatia vibali vya shilingi 500,000 kwa mwaka kinyume cha...

 

10 years ago

TheCitizen

JKIA construction contract under investigation

New evidence has emerged of how the contract for the construction of a modern passenger terminal at Jomo Kenyatta International Airport was varied by more than Sh9 billion.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani