MARUFUKU KUOSHEA MAGARI ENEO LA NDIUKA.-RC HAPI
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa katika eneo la Ndiuka ambako ndio chanzo cha maji yanayotumiwa na wakazi wa manispaa ya Iringa kwa kiasi kikubwa yanazalishwa hapo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akieleza jambo kuhusiana na marufuku aliyoitoa
FREDY MGUNDA,IRINGA.
KUTOKANA na uchafunzi wa Vyanzo vya maji,Afya za wananchi wapatao laki 1.78 wanaoshi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na pembezoni mwa mji ziko hatarini kukumbwa na magonjwa mbalimbali.
Hayo yamebainika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Marufuku ya Utumizi wa magari Nigeria
11 years ago
Habarileo27 Jun
Trafiki marufuku kuvizia magari
SERIKALI imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI ,WACHOMA NYUMBA ,MAGARI
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa...
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
NYALANDU azima marufuku magari ya Tanzania JKIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu.
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania.
Marufuku hiyo ya Kenya kwa magari ya Tanzania,...
11 years ago
Habarileo14 May
Magari ya vioo vya giza marufuku Kenya
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo, ameagiza kukamatwa kwa magari yote ya abiria yenye vioo vya giza. Lengo la hatua hiyo ni kudhibiti uvamizi na mashambulizi ya mara kwa mara, yanayofanywa na vikundi vya kigaidi kutoka nchi jirani ya Somalia.
11 years ago
GPLMAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABARA YA DAR ES SALAAM MTWARA
11 years ago
Dewji Blog06 May
Magari zaidi ya 100 yakwama eneo la Manzese barabara ya Dar Es Salaam Mtwara
Malori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama.
Baadhi ya wasafiri kwenye mabasi yaendayo Dar Es Salaam kutoka Mtwara, Lindi na Kilwa na yale yatokayo Jijini Dar Es Salaam kuekelea mikoa ya Kusini wakiwa wamesimama...
10 years ago
Michuzishughuli zote za upigaji wa disko katika eneo la Kiwengwa zanzibar marufuku
5 years ago
CCM Blog