NYALANDU: UMOJA WETU NDIO UTATUFANYA TUSONGE MBELE

Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Joshua Kileo (Kulia) baada ya ibada katika kanisa la KKKT Mjini Kati siku ya Jumapili.************WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema pamoja na mitihani mikubwa ambayo taifa inakabiliana nayo, umoja wa Watanzania utaifanya nchi isonge mbele kama taifa linalozingatia sheria na demokrasia.Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili ya Pasaka iliyofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Tusonge mbele
MAPEMA wiki hii, serikali ilinunua mashine mpya ya CT-Scan inayotajwa kugharimu dola za Marekani
Ezekiel Kamwaga
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele-2
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele
10 years ago
Michuzi
Shirika La Bima La Taifa (NIC) ladhamini kipindi cha “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na 93.7 EFM radio na TFF

11 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Picha za mitandaoni kwa “wanajeshi” wetu twende mbele zaidi
SIKU chache zilizopita kupitia vyombo vya habari takribani vyote ikiwemo mitandao ya kijamii vilitawaliwa na tukio la kufukuzwa kazi kwa askari watatu wa Jeshi la Polisi wa Kikosi cha Usalama...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Nyerere, Kiswahili na umoja wetu
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Nani adui wa umoja wetu wa kitaifa?
HAKUNA taifa linaloweza kusimama bila ya kuwa na umoja wa kitaifa. Tanzania imesimama imara hadi leo hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa letu. Tunasifiwa...
10 years ago
Habarileo22 Jun
Nyalandu `alilia’ umoja CCM
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka WanaCCM kutovurugana kwa sababu tu ya mchakato unaoendelea wa kumtafuta mwanachama atakeyebeba mikoba ya chama hicho katika kuwania urais wa Tanzania baadaye mwaka huu.
10 years ago
GPL
UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA