Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA

Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai sisi Watanzania huku akitutia moyo wa kudumisha  amani na utulivu katika taifa letu.Baada ya kusema hayo nianze mada yangu leo kwa kutahadharisha kuwa kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kunahitaji chombo cha kujenga umoja miongoni mwetu ili amani ambayo ni tunu ya taifa iendelee kudumu. Kwangu naona chombo hicho ni muhimu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Chombo hicho kisiwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA

Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai sisi Watanzania huku akitutia moyo wa kudumisha amani na utulivu katika taifa letu.Baada ya kusema hayo nianze mada yangu leo kwa kutahadharisha kuwa kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kunahitaji chombo cha kujenga umoja miongoni mwetu ili amani ambayo ni tunu ya taifa iendelee kudumu.Kwangu naona chombo hicho ni muhimu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.Chombo hicho kisiwe chini ya vyama vya siasa, dini, ukanda wala ukabila kwani hakuna nchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nani adui wa umoja wetu wa kitaifa?

HAKUNA taifa linaloweza kusimama bila ya kuwa na umoja wa kitaifa. Tanzania imesimama imara hadi leo hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa letu. Tunasifiwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa

WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari “Rais Magufuli na Slack Management Style

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametangaza mapendekezo maalumu ya uundwaji wa serikali ya Umoja wa kitaifa nchini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyerere, Kiswahili na umoja wetu

Baada ya siku chache ya kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hatuna budi kutafakari kwa pamoja matumizi yake ya Kiswahili  kama lugha ya ukombozi kwa Watanzania na Waafrika wote katika harakati za mapambano dhidi ya ukoloni na baada ya uhuru.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema Z’bar yakosoa umoja wa kitaifa

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar umedumaza dhana ya demokrasia ya vyama vingi na kuficha misingi ya utawala bora kutokana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kushindwa kuwachukulia hatua za kisheria viongozi waliohusika na ufisadi visiwani hapa.

 

11 years ago

Habarileo

‘Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaendelea vizuri’

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaendelea vizuri na kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Bila ya umoja wa kitaifa tunaelekea kubaya

Kwa hali ilivyo Tanzania inahitaji chombo cha kujenga umoja. Lakini kisiwe chini ya vyama vya siasa, dini, ukanda wala ukabila.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar yaparaganyika

Wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro wa kisiasa Zanzibar yakiendelea, utendaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), unaonekana kuparaganyika baada ya mawaziri wa CUF kususia kazi, wakidai Serikali hiyo imeshamaliza muda wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani