UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA
Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai sisi Watanzania huku akitutia moyo wa kudumisha amani na utulivu katika taifa letu.Baada ya kusema hayo nianze mada yangu leo kwa kutahadharisha kuwa kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kunahitaji chombo cha kujenga umoja miongoni mwetu ili amani ambayo ni tunu ya taifa iendelee kudumu.Kwangu naona chombo hicho ni muhimu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.Chombo hicho kisiwe chini ya vyama vya siasa, dini, ukanda wala ukabila kwani hakuna nchi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLpH4CQBfKF7rHTktKrh4MPT9Wlk0u1miUSaElrUAvzAdPiGCFlxPdPkXrxgjFwyc1sDdni6irj8aIMO7ijrMGj/nyerere.jpg?width=650)
UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Nani adui wa umoja wetu wa kitaifa?
HAKUNA taifa linaloweza kusimama bila ya kuwa na umoja wa kitaifa. Tanzania imesimama imara hadi leo hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa letu. Tunasifiwa...
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa
WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari “Rais Magufuli na Slack Management Style
Mwandishi Wetu
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Nyerere, Kiswahili na umoja wetu
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Chadema Z’bar yakosoa umoja wa kitaifa
11 years ago
Habarileo10 May
‘Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaendelea vizuri’
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaendelea vizuri na kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.
10 years ago
Mwananchi11 Mar
Bila ya umoja wa kitaifa tunaelekea kubaya
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar yaparaganyika