Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyerere, Kiswahili na umoja wetu

Baada ya siku chache ya kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hatuna budi kutafakari kwa pamoja matumizi yake ya Kiswahili  kama lugha ya ukombozi kwa Watanzania na Waafrika wote katika harakati za mapambano dhidi ya ukoloni na baada ya uhuru.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu- 2

Wiki iliyopita tulikumbushana kwamba ugaidi siyo dini. Wanaotumia Uislamu kuua au kutimiza matakwa yao wana mustakbali tofauti na wapenda amani. Pili, ugaidi unaoendelea sasa hivi una chimbuko ndani ya mgogoro wa kipindi kirefu baina ya Wapalestina na Wayahudi. Mgogoro huu haujasuluhishwa, abadan.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu na utamaduni wa kiarabu

Ila wasiwasi uliowashika wanausalama wanaojua mikunjokunjo ya shuka na kanzu za ulimwengu wetu ni tafrani kali zinazoendelea Syria na Iraq. Wasiwasi wa mashushushu na wanasiasa majuu ni hatari zitakazoenezwa na migogoro hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu - 3

Hebu tumalizie mada yetu tukijiuliza, je, utamaduni ni nini?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nani adui wa umoja wetu wa kitaifa?

HAKUNA taifa linaloweza kusimama bila ya kuwa na umoja wa kitaifa. Tanzania imesimama imara hadi leo hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa letu. Tunasifiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA

Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai sisi Watanzania huku akitutia moyo wa kudumisha amani na utulivu katika taifa letu.Baada ya kusema hayo nianze mada yangu leo kwa kutahadharisha kuwa kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kunahitaji chombo cha kujenga umoja miongoni mwetu ili amani ambayo ni tunu ya taifa iendelee kudumu.Kwangu naona chombo hicho ni muhimu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.Chombo hicho kisiwe chini ya vyama vya siasa, dini, ukanda wala ukabila kwani hakuna nchi...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WETU WA KITAIFA UKIPUUZWA, TAIFA LITAANGAMIA

Tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai sisi Watanzania huku akitutia moyo wa kudumisha  amani na utulivu katika taifa letu.Baada ya kusema hayo nianze mada yangu leo kwa kutahadharisha kuwa kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kunahitaji chombo cha kujenga umoja miongoni mwetu ili amani ambayo ni tunu ya taifa iendelee kudumu. Kwangu naona chombo hicho ni muhimu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Chombo hicho kisiwe...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU: UMOJA WETU NDIO UTATUFANYA TUSONGE MBELE

Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Joshua Kileo (Kulia)  baada ya ibada katika kanisa la KKKT Mjini Kati siku ya Jumapili.************WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema pamoja na mitihani mikubwa ambayo taifa inakabiliana nayo, umoja wa Watanzania utaifanya nchi isonge mbele kama taifa linalozingatia sheria na demokrasia.Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili ya Pasaka iliyofanyika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ni Wakati Wetu Wasanii Kusimama- Steve Nyerere

~~MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu wana nafasi kubwa katika uongozi kwa ni kivutio cha wapiga kura kwa mantiki ni wakati wao kushiriki katika hatamu za uongozi, na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.

"Ni kweli tunahitaji mabadiliko katika utawala lakini hilo litafanikiwa tu pale tutaposhiriki kujiandikisha katika Daftari la mpiga kura, kama nilivyosema badala ya kusimama badala ya mgombea sasa tunasimama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani