NYANZA: Uzembe wa daktari wasababisha mgonjwa alipwe Sh25 milioni
>Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, kuwalipa fidia ya Sh25 milioni Mwamini Adam na mumewe Idrisa Jafari kutokana na madhara waliyopata baada ya uzembe uliofanywa na daktari wa Hospitali ya wilaya hiyo alipokuwa akimfanyia upasuaji Mwamini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-7a-qy-7*oMkNTXRiqijA3LR-sEhj0Fv*aH10EtsFPeRZENGgUy63GHax-JObGdEel9DaB4-xuG8FxDnfaX11h9/FRONT.jpg?width=650)
DAKTARI, MGONJWA...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
NYANZA: Kamati yaundwa kuchunguza tuhuma za daktari aliyegoma kutoa huduma
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Daktari wa Saikologia: Shilole Mgonjwa!
Daktari bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake.
Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia linalomsumbua mmoja wao au ni ugomvi wa kawaida wa kimapenzi.
“Mtu yeyote aliyepitia...
10 years ago
Vijimambo15 Nov
Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/gambo-nov15-2014.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo, ameliagiza Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Lucas Mweri, kumchukulia hatua daktari anayetuhumiwa kumbusu mgonjwa wake wakati akimtibu.
Gambo alitoa agizo hilo jana baada ya kupokea malalamiko ya tukio hilo na kueleza kuwa ni la ukiukwaji wa maadili ya kidaktari na aibu kwa wilaya.
Aliliagiza jeshi la polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria ili iwe fundisho kwa...
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Daktari: Mgonjwa hakufa kwa ebola
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-96cEqIM3xbI/VS4lRy5XJtI/AAAAAAAHRNk/0ISr9nFcO68/s72-c/02.jpg)
NAMNA YA KUMSHITAKI DAKTARI ALIYESABABISHA MADHARA AU KIFO KWA MGONJWA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-96cEqIM3xbI/VS4lRy5XJtI/AAAAAAAHRNk/0ISr9nFcO68/s1600/02.jpg)
Wako watu wengi wameathirika kutokana na matendo yanayotokana na uzembe,kutojali au makusudi ya madaktari. Wapo waliopata vilema vya muda kutokana na uzembe huo, wapo waliopata vilema vya maisha na wapo waliouliwa na madaktari hawa hawa.
Ajabu ni kuwa ukifanya tathmini ya haraka utaona kuwa watu wote waliopata madhila kutoka kwa madaktari huhusisha madaktari wa serikali na katika hospitali za serikali. Si...
11 years ago
Michuzi28 Jul
Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...
10 years ago
Habarileo26 Aug
Kikwete aagiza mkandarasi alipwe
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Maji na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kutafuta fedha za kumlipa mkandarasi kujenga bwawa la Kidete anayedai Sh bilioni mbili, ili arejee kazini kukamilisha kazi iliyopangwa. Rais Kikwete ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo, kumueleza Rais kwamba ujenzi wa bwawa hilo umesimama kwa muda mrefu, kwa sababu mkandarasi anaidai serikali Sh bilioni mbili.
10 years ago
TheCitizen08 Oct
Bank gives Sh25 billion mortgage loans in TZ