Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo, ameliagiza Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Lucas Mweri, kumchukulia hatua daktari anayetuhumiwa kumbusu mgonjwa wake wakati akimtibu.

Gambo alitoa agizo hilo jana baada ya kupokea malalamiko ya tukio hilo na kueleza kuwa ni la ukiukwaji wa maadili ya kidaktari na aibu kwa wilaya.

Aliliagiza jeshi la polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria ili iwe fundisho kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa wa Ebola asakwa Sierra Leone

Mamlaka nchini Sierra Leone inataka usaidizi kutoka kwa raia wake ili kumsaka mgonjwa mmoja wa Ebola.

 

11 years ago

GPL

DAKTARI, MGONJWA...

Stori: Waandishi Wetu AMA kweli majanga yakimkuta binadamu hayapigi hodi! Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai ni mgonjwa wa jino aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamida (20). Dokta Ngariba akijitetea. Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 9, mwaka huu ndani ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Daktari wa Saikologia: Shilole Mgonjwa!

Daktari bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake.

Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia linalomsumbua mmoja wao au ni ugomvi wa kawaida wa kimapenzi.

“Mtu yeyote aliyepitia...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari: Mgonjwa hakufa kwa ebola

Kaimu mganga mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Yusuph Bwire amesema matokeo ya uchunguzi wa sampuli yaliyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yanaonyesha kwamba Salome Richard hakufariki dunia kwa ugonjwa wa ebola bali kwa tatizo la ini.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Uzembe wa daktari wasababisha mgonjwa alipwe Sh25 milioni

>Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, kuwalipa fidia ya Sh25 milioni Mwamini Adam na mumewe Idrisa Jafari kutokana na madhara waliyopata baada ya uzembe uliofanywa na daktari wa Hospitali ya wilaya hiyo alipokuwa akimfanyia upasuaji Mwamini.

 

10 years ago

Michuzi

NAMNA YA KUMSHITAKI DAKTARI ALIYESABABISHA MADHARA AU KIFO KWA MGONJWA.

Na   Bashir   Yakub.
Wako  watu  wengi  wameathirika  kutokana  na  matendo  yanayotokana  na  uzembe,kutojali  au  makusudi ya madaktari. Wapo  waliopata  vilema    vya muda  kutokana  na  uzembe  huo,  wapo  waliopata  vilema  vya  maisha  na  wapo  waliouliwa  na  madaktari hawa hawa.  
 Ajabu  ni kuwa  ukifanya  tathmini  ya  haraka  utaona kuwa    watu  wote waliopata  madhila    kutoka  kwa  madaktari  huhusisha  madaktari  wa serikali  na  katika  hospitali  za  serikali.  Si...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Daktari Christian Chenay mwenye umri wa miaka 98 anaendelea kuwatibu wagonjwa wake

Daktari wa Ufaransa Christian Chenay, anaendelea kufanya kazi katika mazingira ambayo ni hatari kwa mtu mwenye umri kama wake

 

11 years ago

GPL

DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI

Stori:  Mwandishi Wetu
MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe. Mkongwe wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya' . Akisimulia mkasa mzima, Mery alisema Dudubaya alitishia kumuua mara baada ya kumfukuza katika nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja maeneo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanukovich asakwa Ukraine

Waranti ya kumtia mbaroni aliyekuwa rais wa Ukraine Viktor Yanukovitch imetolewa na mahakama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani