Obama atetea mashambulizi dhidi ya IS Iraq
Rais Obama ametetea mashambulizi dhidi ya wanapiganaji wa kiisilamu nchini Iraq akisema yanapania kulinda maslahi ya wamerekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Misururu ya mashambulizi yatikisa Iraq
Watu 24 wameuawa katika msururu wa milipuko ya mabomu katikati mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Marekani yaendeleza mashambulizi Iraq
Marekani imesema kuwa imetekeleza mashambulizi zaidi kazkazini mwa Iraq dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji wa Jihad.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Obama atetea Marekani kushambulia ISIS
Rais Obama asema ni sawa ndege za Marekani kushambulia wapiganaji wa ISIS na mashambulio zaidi yatafanywa ikihitajika
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Mashambulizi ya Kobane yamkera Obama
Rais Barack Obama amewaambia makamanda wa ngazi ya juu wa jeshini kwamba ameguswa na kile kinachoendelea Kobane
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mashambulizi mapya dhidi ya Al-Shabaab
Wanajeshi wa Muungano wa Afrika wakishirikiana na wanajeshi wa Somalia, wameanza mashambulizi mapya dhidi ya kundi la wanamgambo la Al Shabaab.
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Mashambulizi dhidi ya Houthi yasitishwa
Majeshi ya muungano yakiongozwa na jeshi la Saudi Arabia yamesitisha mashambulizi yake ya angani nchini Yemen, baada ya kuanza muafaka wa amani wa kusitisha mapigano.
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
UN yakemea mashambulizi dhidi ya Albino
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Serikali ya Tanzania kupambana na vitendo vya mashambulizi dhidi ya Albino
10 years ago
BBCSwahili03 Sep
Obama kuongeza vikosi Iraq
Rais Barack Obama wa Marekani ameidhinisha kupelekwa vikosi vya wanajeshi wapatao 350 Iraq.
11 years ago
Michuzi14 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania