Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ODAMA: SIKWENDA NJE KUJIUZA

WIKI iliyopita mwigizaji Jennifer Kyaka ‘Odama’ alifafanua mambo mbalimbali aliyopitia maishani likiwemo suala la kuficha ujauzito na mambo mengine ambayo yawezekana ulikuwa huyajui juu yake.
Leo tunamalizia makala haya kwa kutazama majibu ya maswali mbalimbali ambayo nilimuuliza na kuyatolea ufafanuzi. UNGANA NAYE… Mwigizaji wa filamu za kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’ Mwandishi: Wasanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ODAMA ATAJA SABABU KUZAA NJE YA NDOA

Stori: Gladness Mallya MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia. Mkali wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake. “Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu kuolewa ni majaaliwa awe ni...

 

11 years ago

GPL

MTEGO WA KUJIUZA WAMBADILI BABY

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza uliotegwa na gazeti hili hivi karibuni, mdada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe Kairuki kutokana na tukio hilo umekwisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni msanii huyo ambaye ni kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri alisema, tukio lile limefanya ajifunze kitu na kubadilika kwake...

 

10 years ago

GPL

DAVINA AKIRI WASANII KUJIUZA!

Stori: mayasa mariwata
STAA wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna wasanii wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi. Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na paparazi wetu, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee. “Tatizo ni...

 

11 years ago

GPL

KAJALA APANGUA SKENDO YA KUJIUZA

Stori: Imelda Mtema UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameitolea mbavuni skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi wa kike Bongo.
Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China, alipozungumza na paparazi wetu aliruka viunzi na kufafanua: Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. “China nakwenda kwa pesa zangu, nalipa dola 5000 (business class), nina dili zangu za kikazi...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA AITWA CHINA KUJIUZA

Na Nyemo Chilongani STAA wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa amekuwa akipigiwa simu na mtu asiyemfahamu na kumtaka akafanye biashara ya kujiuza ‘ukahaba’ nchini China. Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Akizungumza na paparazi wetu, Jini Kabula alisema katika maisha yake anaamini maisha mazuri hata Bongo yanapatikana hivyo licha ya kutangaziwa dau la maana lakini amekataa....

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI

Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao...

 

10 years ago

GPL

JACK DUSTAN AFUNGIA SKENDO YA KWENDA KUJIUZA THAILAND

Imelda Mtema. Mambo vipi mpenzi msomaji wangu? Tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini uko poa.Leo tunaye mwanadada anayekwenda kwa jina la Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’.
Naye yuko hapa kujibu maswali 10 aliyobanwa na mwandishi wetu Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’. IMELDA MTEMA.
Ijumaa: Tulisikia unataka kuolewa, ukavishwa hadi pete ya uchumba, hili suala limeishia wapi?
...

 

10 years ago

GPL

MADAHA AFUNGUKA SKENDO YA KUJIUZA, KUTOKUWA NA PA’ KUISHI

Baby Joseph Madaha ndiye ambaye wiki hii yuko hapa kujibu maswali 10 ambayo mwandishi wetu Gladness Mallya alimuuliza. Ilikuwa hivi; Staa Baby Joseph Madaha. Ijumaa: Umekuwa ukitajwa kuwa wewe ni msanii wa kike unayeongoza kwa kubadilisha mabwana kila kukicha, hili likoje? Baby Madaha: Ukweli hiyo huwa inatokea tu na huwa sipendi kusumbuliwa na mwanaume, nikiona ananizingua nammwaga. Hata hivyo, kwa sasa nimeamua kutulia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Nimekuja Kufanya Kazi Sio Kuuza Sura Wala Kujiuza!!!!-Ester

Mrembo na muigizaji wa filamu anayekuja kwa kasi, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.

Akizungumzia usumbufu anaoupata kutoka kwa vidume, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wasiojitambua.

“Mimi bwana siyo mburula,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani