Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi, Kiongera marufuku

Mshambuliaji wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi na wenzake wanne wanaweza kuwa wameiingiza klabu hiyo kwenye mgogoro mkubwa; hawana kibali cha kufanya kazi nchinilicha ya kutumiwa kwenye mechi za ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Kisiga awavaa Okwi, Kiongera

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shabani Kisiga. Na Sweetbert Lukonge
ZIKIWA bado siku chache ili kuanza kwa michuano ya Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shabani Kisiga, amewapa somo zito wachezaji wenzake wa timu hiyo, Emmanuel Okwi na Paul Kiongera kwa kuwataka kuachana na utani pindi wanapokuwa uwanjani na badala yake wapambane mwanzo mwisho. Kisiga ambaye amejiunga na Simba hivi karibuni akitokea Mtibwa Sugar,...

 

10 years ago

GPL

KIONGERA, TAMBWE, OKWI NI MOTO MWINGINE

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe akishangilia bao. Na Wilbert Molandi BAADA ya kuisuka vema kombinesheni ya Emmanuel Okwi na Paul Kiongera, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, ameanza kuitengeneza nyingine ya Mrundi, Amissi Tambwe na Amri Kiemba.Awali, kocha huyo aliwahi kulalamikia safu ya ushambuliaji ya timu kushindwa kutumia nafasi nyingi wanazozipata katika mechi tatu za kirafiki ilizocheza timu hiyo ikiwa Zanzibar...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongera aikosa Yanga

>Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema  kuumia kwa Raphael Kiongera na Haruna Chanongo ni pigo kubwa kwa timu yake wakijiandaa na michezo miwili kabla ya kuivaa Yanga Oktoba 12.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongera achelewesha kikosi Simba

Kocha Patrick Phiri amesema mshambuliaji wake Raphael Kiongera ndiye anayemchelewesha kupata kikosi cha kwanza kutokana na kuchelewa kuripoti kambini.

 

9 years ago

Mtanzania

Kiongera azidi kuchanua Kenya

280629_heroaNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Simba anayekipiga kwa mkopo katika kikosi cha KCB ya Kenya, Paul Kiongera, ameendelea kung’ara baada ya kuteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji aliyerejea kwa kishindo (Comeback of the Year Award) Ligi Kuu nchini humo.

Kiongera, ambaye tayari Simba imetangaza kumrejesha kundini ili kukitumikia kikosi chao katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazoendelea Desemba 12, mwaka huu, anawania tuzo hiyo pamoja na nyota wa Nakuru RFC, Lawrence...

 

10 years ago

GPL

Kiongera kutibiwa nje ya nchi

Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
DAKTARI maarufu wa michezo nchini ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema kuna uwezekano mkubwa Simba ikalazimika kumpandisha ndege mshambuliaji wake Paul Kiongera akatibiwe. Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera. Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji. “Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic kuamua hatma Kiongera

>Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic atakuwa na kibarua cha kuchagua mshambuliaji mmoja kati ya nyota watatu wakakaotambulishwa katika tamasha la Simba Day.

 

10 years ago

Mtanzania

Kiongera akabidhiwa jezi ya Mosoti Simba

Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera

Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera

NA HUSSEIN OMAR, UNGUJA

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Paul Kiongera, amewasili katika kambi ya timu hiyo, iliyopo mjini hapa kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.

Simba imeweka kambi hapa ikiwa chini ya Kocha Mkuu wake, Mzambia Patrick Phiri na Jumamosi inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Gor Mahia ya Kenya, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Kiongera, aliyewasili hapa juzi usiku, jana alijumuika na...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Kerr amkingia kifua Kiongera

Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kumpa muda mshambuliaji wake, Raphael Kiongera  kutokana na kiwango alichokionyesha katika mechi dhidi ya Toto Africans.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani