Oluoch: Hatutafuti majimbo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiel Oluoch, amesema wanaandamwa na viongozi wakubwa wakidaiwa kuchangia mara nyingi bungeni ili baadaye wagombee majimboni. Oluoch ambaye ni mjumbe kutoka Chama Cha Walimu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Aug
HOJA HUNENWA: Hatutafuti rais mtakatifu
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.
Tathmini ya Upigaji Kura
Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...
9 years ago
Habarileo29 Oct
CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Oluoch: Nilivyoliona Bunge la Katiba
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiel Oluoch, ni miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyetia fora kwa umahiri wake wa kujenga hoja. Huyu ni...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Oluoch aja na mpya Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Honoratha Chitanda, Ezekiah Oluoch wabishana bungeni
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Oluoch: Bunge lianze na suala la muundo wa Muungano
11 years ago
IPPmedia19 May
TTU Assistant Secretary General, Ezekiel Oluoch
IPPmedia
IPPmedia
The Tanzania Teachers Union (TTU) has blamed the ministry of Education and Vocational Training for poor record keeping which has denied promotion to over 2,000 inspectors and trainers for 26 years now. According to TTU, at least 2,450 inspectors and ...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.