Oman na fursa chekwa za uwekezaji kwa Watanzania
Wakiwa na matumaini ya makubwa kwa Watanzania, jopo la wafanyabiashara kutoka Oman wapo nchini kusaka fursa za uwekezaji katika sekta ya chakula na mifugo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji
Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiaria uzinduzi wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.
Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Tanzania na fursa chekwa katika teknolojia ya habari
10 years ago
MichuziUTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI
11 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza fursa sawa ya ajira kwa watanzania bila kujali mipaka
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...
11 years ago
MichuziBENJA ATUA DAR KUSAKA FURSA ZA UWEKEZAJI
Mwana Diaspora Benja ambaye pia ni nyota katika kipindi cha kila wiki katika mtandao wa Vijimambo cha IJIWE CHA UGHAIBUNI ametua Dar es salaam wiki hii akiwa katika harakati za kusaka fursa ya uwekezani na kutoa ajira kwa ndugu, jamaa na marafiki. Hapa ni katika kiota cha Break Point ya mjini ambako leo ameandaa dina la mchana kwa wadau kadhaa akiwamo Ankal
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Bagamoyo ina fursa nyingi za uwekezaji — Nagu
MJI wa Bagamoyo umetajwa kuwa ni moja ya maeneo yenye fursa nyingi za uwekezaji na zinavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali ambazo zikitumika ipasavyo zitasaidia mji huo kupiga hatua za...
10 years ago
MichuziPINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN