Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENJA ATUA DAR KUSAKA FURSA ZA UWEKEZAJI



Mwana Diaspora Benja ambaye pia ni nyota katika kipindi cha kila wiki katika mtandao wa Vijimambo cha IJIWE CHA UGHAIBUNI ametua Dar es salaam wiki hii akiwa katika harakati za kusaka fursa ya uwekezani na kutoa ajira kwa ndugu, jamaa na marafiki. Hapa ni katika kiota cha Break Point ya mjini ambako leo ameandaa dina la mchana kwa wadau kadhaa akiwamo Ankal

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee...

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba atua Jiji la Mwanza kusaka Wadhamini


Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la  Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa.Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA.

 Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara, katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal...

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA

Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara, katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji

IMG_4489

IMG_4507

Ofisa utumishi Mkuu  Wilaya ya kinondoni  Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe  kuashiaria  uzinduzi  wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni  kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.

IMG_4494

Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.

IMG_4492

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM WA BIASHARA NA VIWANDA TANZANIA KUTEMBELEA CHINA KUSAKA FURSA ZA KIBIASHARA ZAIDI.

TIMU ya wataalam wa biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara na wafanyabiashara wengine wa nchini Tanzania wanatarajiwa kutembelea China baadaye Julai mwaka huu, ikiwa ni katika jitihada za kutafuta fursa za ki biashara ambazo zinaweza kutumika kuleta maendeleo nchini.
Hatua hiyo inakuja miezi michache baada ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete nchini ambapo serikali ya China ilikubali kusaidia Tanzania katika maendeleo na uendeshaji wa Viwanda nchini.
Akizungumza wakati wa sherehe ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Oman na fursa chekwa za uwekezaji kwa Watanzania

Wakiwa na matumaini ya makubwa kwa Watanzania, jopo la wafanyabiashara kutoka Oman wapo nchini kusaka fursa za uwekezaji katika sekta ya chakula na mifugo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo ina fursa nyingi za uwekezaji — Nagu

MJI wa Bagamoyo umetajwa kuwa ni moja ya maeneo yenye fursa nyingi za  uwekezaji na zinavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali ambazo zikitumika ipasavyo zitasaidia mji huo kupiga hatua za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani