Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ombi la kumnunua Sterling lakataliwa

Liverpool imekataa ombi la kitita cha pauni milioni 25 na nyongeza ya pauni milioni 5 kutoka kwa Manchester City ili kumnunua Raheem Sterling.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ombi la Ugiriki lakataliwa

Ombi la serikali ya Ugiriki kuongezewa muda wa kulipa deni lake na kupewa msaada mpya kunusuru uchumi lakataliwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Ombi la kuishtaki Kenya ICC lakataliwa

Mahakama ya rufaa ya ICC, imetupilia mbali rufaa ya mwendesha mashtaka ya kuishtaki Kenya katika kongamano la kimataifa

 

10 years ago

BBCSwahili

Man City yatoa milioni 35m kumnunua Sterling

Klabu ya Manchester City imeimarisha ombi la kumsajili mashambulizi machachari wa Liverpool Raheem Sterling hadi dola milioni 55

 

10 years ago

BBCSwahili

Azimio kuhusu Palestina lakataliwa

Umoja wa mataifa umekataa azimio linalopendekeza kusitishwa kwa mpango wa Israel wa kuyakalia maeneo ya Palestina.

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool kumnunua Origi na Markovic

Liverpool imekubaliana na Lille kumsajili Origi na Markovic kabla ya kushiriki ligi ya mabingwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumnunua Wanyama na Mitrovic

Arsene Wenger anapanga kumnunua kiungo wa kati wa Southampton Mkenya Victor Wanyama na mshambuliaji wa Anderlecht Aleksandr Mitrovic

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U yapiku vilabu kumnunua Falcao

Manchester United imeweka kufuli kwenye dirisha la usajili kwa kumnunua Radamel Falcao.

 

10 years ago

Vijimambo

UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?

Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera.
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...

 

5 years ago

Goal.Com

Traore: I’m not like Sterling, he’s like me!

Traore: I’m not like Sterling, he’s like me!  Goal.comNuno Espirito Santo's success at Wolves and his future beyond  Sky SportsWhat does Raul Jimenez’s future hold?  FootballFanCast.comWolves star Adama Traore aims bizarre dig at Raheem Sterling and Wilfried Zaha  ExpressExclusive: Wolves tipped to sign left footer who ‘Fits Nuno’s criteria’ by Whelan  Football InsiderView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani