Ombi la kuishtaki Kenya ICC lakataliwa
Mahakama ya rufaa ya ICC, imetupilia mbali rufaa ya mwendesha mashtaka ya kuishtaki Kenya katika kongamano la kimataifa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ombi la Ugiriki lakataliwa
Ombi la serikali ya Ugiriki kuongezewa muda wa kulipa deni lake na kupewa msaada mpya kunusuru uchumi lakataliwa
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Ombi la kumnunua Sterling lakataliwa
Liverpool imekataa ombi la kitita cha pauni milioni 25 na nyongeza ya pauni milioni 5 kutoka kwa Manchester City ili kumnunua Raheem Sterling.
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
ICC yakataa ombi la muasi Lubanga
Mahakama ya ICC imetupilia mbali ombio la rufaa lililowasilishwa na muasi wa zamani DRC Thomas Lubanga dhidi ya hukumu aliyopewa ya miaka 14 jela
10 years ago
Vijimambo
AFRIKA KUSINI YAPUUZIA OMBI LA MAHAKAMA YA ICC LA KUMKAMATA RAIS AL-BASHIR

Kwenye taarifa yake, ICC imesema kuna waranti mbili za kumkamata Bashir anayetakiwa na mahakama hiyo kuhusiana na tuhuma za kuhusika na uhalifu ulitokea katika jimbo la Darfur na kwamba anakabiliwa na kesi inayohusiana na uhalifu wa kivita na mauaji ya...
11 years ago
BBCSwahili17 Sep
Ombi la wafungwa wa Kenya
Mkuu wa magereza nchini Kenya Isaiah Osugo amekataa ombi la wafungwa kuruhusiwa kufanya tendo la ndoa na wake zao wakiwa gerezani.
10 years ago
GPL
MAHAKAMA KUU KENYA YAKUBALI OMBI LA VYAMA VYA MASHOGA KUSAJILIWA
Mahakama Kuu ya Kenya. Katika hatua ya kushitua, Mahakama Kuu nchini Kenya imesalimu amri mbele ya mashinikizo ya watetezi wa vitendo vichafu vya ulawiti, usagaji, ushoga na kusema kuwa sasa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo vya uasherati wanaweza kusajili mashirika ya kile kinachodaiwa ni kutetea haki zao za kibinadamu. Majaji watatu wa mahakama hiyo wameiamuru Bodi ya Kusimamia Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs)...
11 years ago
BBC
Kenya 'not co-operating with ICC'
Prosecutors ask the International Criminal Court to rule that Kenya's government is not co-operating with investigations into President Uhuru Kenyatta case.
11 years ago
GPL
MAHAKAMA YA ICC YAIONYA KENYA
Rais wa Kenya, Rais Kenyatta. Mahakama ya kimataifa ya ICC, imeonya serikali ya Kenya dhidi ya kufichua taarifa kuhusu kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta kwa vyombo vya habari nchini humo. Rais Kenyatta amekuwa Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika katika mahakama ya ICC kusikiliza kesi inayomkabili mapema mwezi huu. Rais wa Kenya, Rais Kenyatta (kulia) akiwa na wakili wake katika… ...
11 years ago
BBC
VIDEO: Kenya's Kenyatta to appear at ICC
Kenyan President Uhuru Kenyatta prepares to appear before the International Criminal Court at The Hague.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania