Onyo latolewa, afya ya Schumacher
Onyo limetolewa kuhusu taarifa zinazotolewa na watu wasiohusika juu ya afya ya Michael Schumacher
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IWq_M0okrIA/U1MfEwfljlI/AAAAAAAFb6M/hPeQSMuXr6Y/s72-c/unnamed+(31).jpg)
KABLA YA KUANZA KWA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA-SOMO LATOLEWA KUHUSU MALARIA NO MORE
![](http://1.bp.blogspot.com/-IWq_M0okrIA/U1MfEwfljlI/AAAAAAAFb6M/hPeQSMuXr6Y/s1600/unnamed+(31).jpg)
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Schumacher atoka hospitali
Bingwa wa zamani wa Formula 1 Michael Schumacher ameruhusiwa kutoka hospitali
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
Hali ya Schumacher yaimarika
Madaktari wa bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langa langa, Michael Schumacher, wamesema hali yake imeimarika kiasi
11 years ago
BBCSwahili30 Jan
Michael Schumacher kuanza 'kuamshwa'
Madaktari wanaomtibu mwendeshaji mashuhuri wa magari ya langalanga mjerumani Michael Schumacher wameanza kumrejeshea fahamu.
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Michael Schumacher apata fahamu
Michael Schumacher alitoka hospitalini Grenoble na ataendelea kuishi kwa hali yake ya kawaida
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Michael Schumacher 'aonyesha dalili nzuri'
Bingwa wa zamani wa Fomula 1 Michael Schumacher, amekuwa akionyesha dalili nzuri baada ya madaktari kuanza 'kumuamsha'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox6bpErHZweCMNza9MNKu4*wucoBdb9tFrh*FftxtP69BagaY6x*e8pPKAWd53snrwz3d0U1ShyufP3bbsGVoykk/michael.jpg?width=650)
MICHAEL SCHUMACHER BADO YUPO KWENYE COMA
Michael Schumacher akicheza katika barafu. Schumacher mmoja wa wanamichezo wanaopendwa sana Ujerumani. BINGWA mara saba wa zamani wa mbio za magari za Formula One, Michael Schumacher bado yuko mahututi akiwa kwenye ‘coma’ katika hospitali ya Chuo cha Grenoble, Ufaransa baada ya kuanguka na kujigonga kwenye mwamba wakati akicheza michezo ya kwenye barafu jana pamoja na mwanaye wa kiume.… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7qOwXYtpBFaOIbAQdxwoJ7DQSDmDd-YpACE8KPESohbMKlNvBfIuk74moFBislxW2NGCnw9TZ*0kuYv9uWoOZNd/michael.jpg)
MASHABIKI WAMPONGEZA SCHUMACHER HOSPITALINI BETHIDEI YAKE YA MIAKA 45
Michael Schumacher. MASHABIKI wa Michael Schumacher leo walimtumia salamu za kuadhimisha kutimiza mwaka wa 45 tangu kuzaliwa kwake wakati akiwa amelazwa hospitalini kutokana na kujeruhiwa vibaya kichwani wakati alipokuwa akishiriki mchezo wa kuteleza kwenye barafu maeneo ya Alps nchini Ufaransa. Schumacher ambaye ni mshindi wa mara kadhaa wa mbio za kuendesha magari za Formula One (F1) hivi sasa anapata matibabu akiwa...
10 years ago
VijimamboMawaziri wa Afya wa Zanzibar na wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wakutana na waTanzania Ujerumani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania