Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ORODHA YA WAJUMBE KAMATI ZA TFF

JUDICIAL ORGANS, INDEPENDENT & STANDING COMMITTEES TFF BOARD OF TRUSTEES; Said Hamad El-Maamry, Stephen Mashishanga, Dr Ramadhan Dau, Joel Bendera, Mohamed Abdul Aziz Kamati ya Nidhamu; Tarimba Abbas (Mwenyekiti), Advocate Jerome Msemwa (Makamu Mwenyekiti), Kassim Dau, Nassoro Duduma, Kitwana Manara. Kamati ya Rufani ya Nidhamu; Profesa Mgongo Fimbo (Mwenyekiti), Advocate Hamidu Mbwezeleni (Makamu Mwenyekiti), Titus Bandawe, Twaha Mtengera, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) mstaafu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wajumbe wa Kamati ya Sheria TFF balaa

Uongozi wa Yanga umeingia mchecheto kwa kuanza kuwakataa baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kujadili suala lao na mshambuliaji Emmanuel Okwi.

 

9 years ago

Habarileo

TFF yatangaza orodha ya waamuzi wa semina

KAMATI ya waamuzi imetangaza orodha ya waamuzi watakaoshiriki kwenye semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza Agosti 21- 25, 2015 jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe TFF wakataa timu 16

Jaribio la kuzipandisha klabu za Mwadui na African Lyon kinyemela limegonga mwamba baada ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kugoma kuongeza timu za Ligi Kuu hadi 16 msimu ujao wa 2014/2015.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA

Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo la lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa chama cha soka wilaya ya temeke TEFA uliopangwa kufanyika jumapili agosti 23/2015.
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati za TFF

Kamati ya Utendaji   ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imefanya mabadiliko katika kamati zake ndogondogo na zile za kisheria za shirikisho hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe wapata hofu kamati za bunge

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kuwa na hofu kwa madai kuwa kamati zilizoundwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta,  zinalenga kutoa nafasi kwa wenyekiti wa...

 

9 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA KAMATI NDOGO ZA TFF

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichofanyika Septemba 06, mwaka huu kilifanya mabadiliko madogo ya kamati zake ndogo ndogo.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Blassy Kiondo aliyekua Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Wanawake ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Ufukweni na Sakafuni (Beach Soccer and Futsal).
Amina Karuma ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake nchini (TWFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji aliteuliwa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani