Wajumbe TFF wakataa timu 16
Jaribio la kuzipandisha klabu za Mwadui na African Lyon kinyemela limegonga mwamba baada ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kugoma kuongeza timu za Ligi Kuu hadi 16 msimu ujao wa 2014/2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.bmp)
ORODHA YA WAJUMBE KAMATI ZA TFF
.bmp)
11 years ago
Mwananchi05 Sep
Wajumbe wa Kamati ya Sheria TFF balaa
Uongozi wa Yanga umeingia mchecheto kwa kuanza kuwakataa baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kujadili suala lao na mshambuliaji Emmanuel Okwi.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa
Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
TFF: Tutaadhibu timu zinazo amini ushirikina
Wakati dunia ikiamini soka kuwa ni mchezo wa kisayansi, dhana hiyo ni tofauti katika nchi kadhaa duniani,hasa barani Afrika.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Hii ndiyo timu ya kufuatilia posho za wajumbe wa #Bunge la #Katiba
Timu hiyo inatarajiwa kuyachunguza kwa undani mahitaji ya wajumbe wa Katiba, kisha kuisaidia serikali kutafuta jinsi ya kuongeza posho hizo.
11 years ago
Michuzi30 Oct
5 years ago
Michuzi
TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...
11 years ago
Michuzi
Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.



11 years ago
MichuziTimu ya Jamhiri ilivyoigaragaza timu ya Polisi Zanzibar kwa bao 1-0
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania