OSWALD, ‘MUDI MBABE ‘KUZICHAPA AUGUST 10 MWANANYAMALA
Promota wa mpambano wa ngumi usiokuwa na ubingwa, Rashid Kipanga (katikati) akiwatambulisha Maneno Osward (kulia) na Abdallah Pazi (Mudi Mbabe) wanaotarajia kuchuana mwezi ujao. Oswald akisaini mkataba wa kupigana na Abdallah Pazi. Kushoto ni Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Hj-NRuW0FpY/U7naBIPOIRI/AAAAAAAFva4/35AzEsLcjEY/s72-c/unnamed.jpg)
Mtambo wa Gongo na Abdalah Pazi (Mudi Mbabe) kuzipiga Augosti 10,2014 jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-Hj-NRuW0FpY/U7naBIPOIRI/AAAAAAAFva4/35AzEsLcjEY/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OOqlynd1fyw/U7naBMPyWfI/AAAAAAAFvas/wxR8EFkD8EY/s1600/unnamed.jpgk.jpg)
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA
10 years ago
VijimamboMNUSO BAADA YA SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA
Ni ukodak moment kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea.
Ni ukodak kwa kwenda mbele
Wadau wakiselebuka
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboNG'ARI NG'ARI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA LEO JUMAMOSI
Oswald na Susan wakivalisha pete ya ndoa mbele ya mchungaji wa kanisa la St Peter's Catholic Birmingham. AL na baada ya hapo kulifuatiwa na sherehe ndani ya St Peter's Reception Hall, Oswald na Susan walijumuhika na ndugu pamoja marafiki kusheherekea siku hii muhimu katika maisha yao.
Hapa ni mzazi wa Bibi harusi wakiingia kanisani
Watoto wakiwa kwenye sale maalum wakiingia kanisani hapo
Hawa watoto nao walikuwa kivutio kanisani hapo jinsi walivyokuwa wamependeza, kwa picha zaidi za...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Pacquiao na Mayweather kuzichapa?
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Nyilawila sasa kuzichapa na Mbelwa
BONDIA Saidi Mbelwa anatarajia kupanda ulingoni kuvaana na Karama Nyilawila katika pambano la kilo 76 kuwania ubingwa wa kimataifa unaotambuliwa na UBO. Pambano hilo limepangwa kupigwa Ukumbi wa Friends Conner...