PATI YA BETHIDEI YA BABY MADAHA UCHAFU 85%
![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fk8af80oMwHUaa6zbdL20d9dOjgj2802m0pHoJ0SAWJm56D7I1UVbYLeCQPnw0LiAPrMJHSp3XzJ1DXGnYrHIu6/beibi.jpg)
Stori: Issa Mnally SHEREHE ya siku ya kuzaliwa ya msanii wa muziki na filamu, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kijitonyama jijini Dar es Salaam, ilitawaliwa na vitendo vichafu mwanzo mwisho. Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’akiogeshwa pombe na mashosti zake. Hafla hiyo iliyohudhuriwa na watu wachache wakiwemo baadhi ya wasanii, ilifanyika katika Grosari moja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Apr
Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.
Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana
Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRgFndkAowTFxpJVDy55TNN4c9C-CQwH1XEzXRLmMu1vxQ2GJZI58ZVhstSu3JwzM5x3bLKBp7YcKILpEskg4Aa/madaha.jpg?width=650)
NJAA YAMLIZA BABY MADAHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt4*i19eHM-ZPJiU*SHvZvtFlNqSQUeN9ntPFhj*IIEhdGj5iPAYzgnrFOGvc3XCHAJtCovpi7IgiFZay2NWHjtV/shishi.jpg?width=650)
SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...