Pellegrini ataka mataji manne
>Kocha wa klabu ya Manchester City, Manuel Pellegrini amesema anataka kutwaa mataji katika mashindano yote manne timu yake inayoshiriki katika msimu wake wa kwanza akiinoa klabu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Matic asema Chelsea itashinda mataji 4
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Sterling asema mataji kwanza ndipo mali
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Wachezaji sita na makocha wanne wametwaa mataji mengi zaidi
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Pellegrini:''Guardiola hanitishi''
11 years ago
BBCPellegrini praises midfielder Toure
10 years ago
BBCToure to play in Moscow - Pellegrini
10 years ago
BBCPellegrini never doubted Toure form
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Pellegrini:''Hatumtegemei Yaya Toure''
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Pellegrini amtabiria makubwa Guardiola
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini, amedai kwamba klabu hiyo inaweza kufanya vizuri zaidi kama watafanikiwa kumchukua kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola.
Hata hivyo, kocha huyo amesema kuwa bado ana nafasi ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika mwaka 2017 japokuwa kuna uvumi wa Guardiola kutua hapo Januari mwakani.
Guardiola amekuwa akiwindwa na klabu nyingi za Ligi Kuu nchini England, lakini Man City wanaonekana kuwa katika hatua...