Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachezaji sita na makocha wanne wametwaa mataji mengi zaidi

Ni nadra kwa mwanamichezo kushinda mataji mbalimbali katika maisha yake akiwa katika klabu au nchi tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MROPE: HALI MBAYA IMENIKIMBIZA STAND UNITED, WACHEZAJI SITA WAMETIMKA, WENGINE ZAIDI KUFUATA…

Na Baraka MbolemboleWachezaji sita wa timu ya Stand United wameondoka katika timu hiyo na kurudi ‘ majumbani’ mwao baada ya hali mbaya katika timu hiyi. Hakuna huduma nzuri katika kambi ya timu hiyo, maradhi ni shida, huku wachezaji wanaopata majeraha wakitibiwa kwa Panaldo. Patrick Mrope ni mmoja wa wachezaji sita ambao wameamua kuachana na timu hiyo na kufikia tarehe 26, Mwezi huu mchezaji atakuwa huru kwa sababu atafikisha miezi mitatu bila kulipwa mshahara wake.Patrick Mrope akiwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wachezaji na makocha wa EPL kutovaa barakoa

Wachezaji na makocha wa Ligi ya Primia ya England hawatalazika kuvaa barakoa uwanjani mara ligi hiyo itakapoanza

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?

Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.

 

9 years ago

GPL

Vita ya makocha sita wa Ulaya Ligi Kuu

kocha wa Yanga Hans van Der Pluijm LIGI Kuu Bara inaanza leo huku gumzo likiwa ni uwezo wa makocha sita kutoka Ulaya ambao wanaandika historia ya kuzifundisha timu za ligi hiyo kwa pamoja ndani ya msimu mmoja. Kocha wa Simba Dylan Kerr Timu sita za ligi kuu zinafundishwa na makocha raia wa nchi za Ulaya ambao ni Hans van Der Pluijm wa Yanga raia wa Uholanzi, Dylan Kerr (Uingereza, Simba), Stewart Hall (Uingereza, Azam FC) na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz   Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...

 

9 years ago

MillardAyo

List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …

Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine kama unaweza kumuita mchezaji mbele za watu wasio mfahamu wanaweza kujua una maana tofauti, mfano kuna mchezaji anaitwa Drinkwater kwa kiswahili ni kunywa maji. Hii nimeikuta sokkaa.com. 4- Argelico Fucks huyu ni mchezaji wa zamani […]

The post List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha … appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais ategemee kuona mabango mengi zaidi

Alhamisi wiki hii, Rais Jakaya Kikwete alitembelea Kibaigwa mkoani Dodoma kuona shughuli mbalimbali za maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji waliovutia zaidi Brazil

Wachezaji hawa walikuwa na mvuto mkubwa kiasi cha kuotewa na vilabu vyenye thamani ya mamilioni duniani

 

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani