Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais ategemee kuona mabango mengi zaidi

Alhamisi wiki hii, Rais Jakaya Kikwete alitembelea Kibaigwa mkoani Dodoma kuona shughuli mbalimbali za maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania

Mwaka mmoja baada ya kifo cha bilionea wa Tanzania Reginald Mangi, tayari kumeibuka mgogoro katika familia yake, baada ya mkewe Jacqueline Mengi kudai kwamnba amenyimwa kuona kaburi la mumewe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Jonathan - mabango yang'olewe

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameamuru mabango ya uchaguzi yenye kauli mbiu ya 'Bring Back Jonathan 2015' yang'olewe .

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO, FARU

Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji sita na makocha wanne wametwaa mataji mengi zaidi

Ni nadra kwa mwanamichezo kushinda mataji mbalimbali katika maisha yake akiwa katika klabu au nchi tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Ahmad Tejan atakumbukwa kwa mengi

Rais wa zamani wa Sierra Leone, Alhaji Ahmad Tejan Kabbah, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 huku dunia ikimtaja kama mtu aliyepigania haki na usawa kwa watu wa taifa lake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Jakaya Kikwete anafahamu mambo mengi!

JAKAYA Mrisho Kikwete ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Tanzania anayefahamu mambo mengi lakini hajaamua kushughulikia kile anachokifahamu. Naam! Si mara ya kwanza kumsikia akisema kile anachokijua. Rais wetu...

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE APELEKEWA FOMU YA UBUNGE NYUMBANI KWAKE , MWENYEWE AMPONGEZA JK ASEMA DR MAGUFULI ATEGEMEE KURA ZA KISHINDO LUDEWA

Msafara  wa  vijana wa Boda  boda  zaidi ya 300  waliowasindikiza  wazee wa Ludewa kumchukulia  fomu  mbunge  Deo FilikunjombeWazee  wakimpoelekea  fomu ya ubunge Deo Filikunjombe nyumbani kwake  kwa maandamanoSafari  ya  kuelekea  nyumbani kwa Filikunjombe kukabidhi fomu ya ubunge.Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akipokea  fomu  kutoka kwa  wazee  na vijana  waliomchukulia na kwenda  kumkabidhi nyumbani kwake Ibani mjini  Ludewa. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI

She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani