Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri ataka viungo wawe wafungaji

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri ameanza kuwanoa viungo wake ili waanze kufumania nyavu badala ya kuwategemea washambuliaji peke yake.

Katika msimu uliopita, mshambuliaji wa timu hiyo, Amis Tambwe ndiye aliongoza kwa ufungaji, hali ambayo imemlazimu Phiri kutaka na viungo kusaidia timu.

Kiungo wa zamani wa Simba, marehemu Patrick Mafisango, aling’ara kutokana na ujuzi wake wa kufumania nyavu licha ya kuwa kiungo, hivyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mgimwa ataka waongoza watalii wawe na mikataba halali

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii hapa nchini kuhakikisha kuwa wana mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyia kazi ili kuepuka kunyonywa haki...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri ataka video ya Mtani Jembe

Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameuagiza uongozi wa klabu hiyo kumpa video ya mechi ya Nani Mtani Jembe na nyingine mbili walizocheza na Yanga msimu uliopita ili kuangalia kiwango cha wachezaji wake wawili, beki Mkenya Donald Mosoti na kiungo Jonas Mkude, ambaye kwa sasa ni majeruhi.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ubutu watesa wafungaji vinara

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikifikia raundi ya tano, washambuliaji walioshika nafasi tano bora kwa ufungaji msimu uliopita, wamekosa shabaha.

 

11 years ago

Mwananchi

Bao moja, wafungaji watatu

Utata uliibuka kwenye Uwanja wa Stamford Bridge juzi baada ya Chelsea kupata bao 1-0 la ushindi nyumbani dhidi ya Everton, huku wachezaji watatu wakionekana wamefunga bao hilo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafungaji walia watendaji kuwageuza ‘ATM’

“WAFUGAJI nchini Tanzania bado tumekuwa ni wachungaji mifugo yetu, kwani wenye mifugo ni wale watendaji wanaotunyanyasa kila kukicha wakishirikiana na wanunuzi wa mifugo kwa kututoza faini kubwa za mamilioni zisizo...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wafungaji Domo hawaitwi wapumbaf-mbafu

Jabir Idrissa, KITENDAWILIIIIIII, jibu “tega kitendawili.” Natega: Siku ya 30 mwezi Julai 2012 Mama aligeuka jogoo. Nisindikize wangu; “enhe.” Basi mama jogoo msuka kistaili akaingia ofisini. Jamaa kanambia ofisini alimoingia mama smati, akachukua kalamu ya wino […]

The post Wafungaji Domo hawaitwi wapumbaf-mbafu appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MECHI ZOTE ZA KOMBE LA DUNIA LA MWAKA 2014 NCHINI BRAZIL

8th July 2014 World Cup 2014 5th July 2014 World Cup 2014 4th July 2014 World Cup 2014 1st July 2014 World Cup 2014…

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wabunge EAC wawe na ofisi’

SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kwamba wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wanakuwa na ofisi na vitendea kazi kwa ajili ya shughuli zao. Rai hiyo ilitolewa na wabunge mbalimbali waliochangia mjadala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani