‘Wabunge EAC wawe na ofisi’
SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kwamba wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wanakuwa na ofisi na vitendea kazi kwa ajili ya shughuli zao. Rai hiyo ilitolewa na wabunge mbalimbali waliochangia mjadala...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Wabunge wawe wamoja mijadala kuhusu Ripoti ya CAG, Mahakama ya Kadhi
10 years ago
Habarileo19 May
Wabunge walia na rushwa ofisi za umma
KUKOSEKANA kwa Sheria ya kutenganisha biashara na uongozi ili kuweka nidhamu kwa viongozi wa umma kumesababisha kuwepo na mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa viongozi hao, ambao wamekuwa wakitumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi, hivyo kufanya vitendo vya rushwa kukithiri.
11 years ago
Habarileo08 May
Wabunge waomba ofisi wakiwa Dodoma
WABUNGE wameendelea kupigia debe maslahi mazuri sanjari na mazingira bora ya kufanyia kazi kwa kutaka pamoja na masuala mengine, serikali iangalie uwezekano wa kumpatia kila mbunge ofisi ya kufanyia kazi awapo Dodoma.
10 years ago
Habarileo20 Jan
Wabunge EAC wazika mgogoro
BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa mwaka mzima na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Jumuiya hiyo.
11 years ago
Habarileo27 Mar
Wabunge EALA wataka katiba EAC kuangaliwa
WABUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), wamesema kuna umuhimu wa kuangalia upya katiba ya uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutokana na mambo mengi yaliyopo ndani ya katiba hiyo kupitwa na wakati.
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wadau wataka wabunge EAC kuchaguliwa na wananchi
WANANCHI wametaka wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuchaguliwa na wananchi kutoka nchi wanachama badala ya hivi sasa wabunge hao kuchaguliwa na mabunge ya nchi wanazotoka.
11 years ago
Habarileo03 Apr
Wabunge EAC wamng’ang’ania Spika wao
WABUNGE 33 wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), wamesema mchakato wa kumng'oa madarakani Spika wa Bunge hilo, Dk Margareth Zziwa uko pale pale.
11 years ago
Habarileo10 Jun
Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa
WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.
5 years ago
Bongo514 Feb
Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora
Waheshimiwa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa nyakati tofauti wameelezea kuridhishwa kwao na utendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora na taasisi zake kwa kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.
Taarifa iliyotelewa Alhamisi hii na Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora, imeandika kuwa wabunge wameridhishwa na utendaji kazi wa kitengo hicho kama ifuatavyo;
Wabunge wameonyeshwa kuridhishwa huko wakati wakichangia hoja kuhusiana na masuala ya...