Phiri: Mimi bado kocha bora
Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema yeye ni kocha bora licha ya timu yake kupata sare sita msimu huu na kama atafukuzwa, basi ni kwa utashi wa viongozi wa klabu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Maximo kamili, Phiri bado bado
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amejigamba kuwa kikosi chake kipo tayari kila idara kwa Ligi Kuu Bara, lakini mwenzake Patrick Phiri wa Simba ana kazi ya kuimarisha ubora katika safu yake ya ulinzi.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Kocha Phiri amtuliza Mosoti
Ingawa bado haijatangazwa rasmi kuondolewa kwa beki wa Simba, Donald Mosoti katika kikosi hicho, kocha wake, Patrick Phiri amesema ameanza kumjenga kisaikolojia ili aone ni suala la kawaida na maisha ya soka yapo popote.
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Kocha Phiri apigwa butwaa
Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema soka la Tanzania limejaa siasa hivyo amewaachia viongozi wa timu hiyo kuamua ni mchezaji gani wa kigeni anafaa kuachwa baada ya kusajiliwa mshambuliaji Emmanuel Okwi.
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Amri Said amkingia kifua kocha Phiri
Beki wa zamani wa Simba, Amri Said amewataka mashabiki na viongozi wa timu hiyo kumpa muda wa kutosha kocha Patrick Phiri kwani anaamini kuwa timu hiyo ina nafasi bado ya kutwaa ubingwa.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama
Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha kumsakama kipa Ivo Mapunda na kutaka lawama zote abebeshwe yeye kwani yupo tayari kuwajibika.
10 years ago
MichuziKibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4RLcSt4W2js/U-m2KV4qlsI/AAAAAAAF-z0/K1wQKt_FOvU/s72-c/PATRICK+PHIRI.jpg)
kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC
![](http://1.bp.blogspot.com/-4RLcSt4W2js/U-m2KV4qlsI/AAAAAAAF-z0/K1wQKt_FOvU/s1600/PATRICK+PHIRI.jpg)
Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Shein: Mimi bado rais halali Z’bar
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar huku akiwataka wasioamini katiba hiyo, wapeleke shauri hilo Mahakama Kuu ya Zanzibar yenye uwezo pekee wa kutafsiri katiba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania