Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Phiri amtuliza Mosoti

Ingawa bado haijatangazwa rasmi kuondolewa kwa beki wa Simba, Donald Mosoti katika kikosi hicho, kocha wake, Patrick Phiri amesema ameanza kumjenga kisaikolojia ili aone ni suala la kawaida na maisha ya soka yapo popote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Phiri amtuliza Tambwe Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kumuacha katika kikosi cha timu hiyo kilichocheza dhidi ya URA ya Uganda hivi karibuni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amemtuliza mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe na kumhakikishia kuwa atapata nafasi ya kucheza. Ijumaa iliyopita, Tambwe alijikuta katika wakati mgumu baada kutoswa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kilicheza na URA na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mosoti, Butoyi wamtesa Phiri

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amepatwa na kigugumizi cha uamuzi wa nani abaki kati ya Mkenya Donald Mosoti na Mrundi Butoyi Hussein kujaza nafasi ya beki wa kati.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Phiri apigwa butwaa

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema soka la Tanzania limejaa siasa hivyo amewaachia viongozi wa timu hiyo kuamua ni mchezaji gani wa kigeni anafaa kuachwa baada ya kusajiliwa mshambuliaji Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

Mwananchi

Amri Said amkingia kifua kocha Phiri

Beki wa zamani wa Simba, Amri Said amewataka mashabiki na viongozi wa timu hiyo kumpa muda wa kutosha kocha Patrick Phiri kwani anaamini kuwa timu hiyo ina nafasi bado ya kutwaa ubingwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha kumsakama kipa Ivo Mapunda na kutaka lawama zote abebeshwe yeye kwani yupo tayari kuwajibika.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri: Mimi bado kocha bora

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema yeye ni kocha bora licha ya timu yake kupata sare sita msimu huu na kama atafukuzwa, basi ni kwa utashi wa viongozi wa klabu hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Kibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba

ZIKIWA zimesalia siku nne  kufikia mpambano  wa  nani mtani jembe kati ya watani wa jadi  Simba na Yanga,  Kocha wa zamani wa kikosi cha Wanamsimbazi Abdallah Kibadeni, amemshauri  kocha mkuu  wa timu ya Simba Patrick Phiri kuimarisha safu ya ushambuliaji na ulinzi.
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini  wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...

 

11 years ago

Michuzi

kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC

Na Bin ZubeiryMazungumzo yamekwishanyika na makubaliano yamefikiwa baina ya Patrick Phiri kutoka Zambia (pichani)  na Simba SC na sasa atakuja kufanya kazi tena Msimbazi, akisaidiwa na Nahodha wake enzi zake akifundisha timu hiyo, Suleiman Abdallah Matola ‘Osama’.

Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...

 

10 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Nigeria amtuliza mshindi wa pili Big Brother kwa Sh607 milioni

Bilionea Ayiri Emami, ametoa kitita cha Dola za Marekani 350,000  (Sh607 milioni), kwa mshindi wa pili wa mashindano ya Big Brother Hotshots 2014, Tayo Faniran.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani