Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Jokate amfanyia interview ex wake Diamond, mashabiki wadai wanaoneana aibu!

Msimu wa pili wa kipindi cha The One Show cha TV1 umeanza. Kinachofanyika kwa sasa ni kurekodiwa kwa vipindi hivyo vitakavyoanza kurushwa hivi karibuni. Jokate Mwegelo na Diamond wakiwa kwenye studio za TV1 Leo, watangazaji wa kipindi hicho, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo walikuwa wakimhoji Diamond Platnumz. Diamond ameshare picha kwenye Instagram akiwa amekaa kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wanakwaya Wamfungukia Jokate, Wadai Anatia Aibu

Mrembo , mtangazaji  na muigizaji  wa filamu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewakera wanakwaya wenzake ambao wamedai kuwa anawatia aibu.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, ishu ya Jokate kutupia picha za nusu utupu mitandaoni si mpya, mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kwa tabia yake hiyo kiasi cha kuwakera wanakwaya hao wa kanisa analosali la Saint Peter lililopo Oysterbay jijini Dar.
Mbali na picha hizo, safari hii anaandamwa na skendo mpya ya kudaiwa kukata mauno mbele ya midume anapokuwa kwenye...

 

11 years ago

GPL

JOKATE, DIAMOND WAONEANA AIBU!

Mayasa Mariwata Kwa mara ya kwanza tangu walipomwagana, mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wanadaiwa kuoneana aibu walipokutana laivu. Mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ pichani. Akiwa na mtangazaji mwenzake, Edzen Jumanne, wikiendi iliyopita Jokate alidaiwa kushindwa kumbana Diamond kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: CNN wafanya interview na Diamond, Dar

Sio kitu kilichozoeleka kwa shirika la habari maarufu duniani CNN kumfuata msanii wa Afrika nchini mwake kwaajili ya kumhoji. Diamond akiwa na mwandishi na cameraman wa CNN CNN wametua Dar na kufanya interview na muimbaji wa Nana, Diamond Platnumz. Staa huyo ameshare picha kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Thanks alot @CNN it was a […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’

h n d

Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.

h n d

Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:

Harmonize tattoo

“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

Alikiba azunguka kwenye daladala Dar kukutana na mashabiki wake (Picha)

Mshindi wa tuzo tano za KTMA 2015, Alikiba amewapa mashabiki wake nafasi ya kuonana naye baada ya kuamua kutumia usafiri wa daladala kuzunguka jijini la Dar es Salaam. Alikiba akishuka kwenye basi la Mbagala Muimbaji huyo wa Chekecha alianza safari yake kwa kupanda daladala ya Kariakoo/Mbagala na kutangaza kwa abiria nia yake ya kupanda daladala […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani