Picha: Lucy Komba ‘Ameshea’ nasi hizi za Zamani
Staa mrembo kutoka Bongo Movies ambae kwasasa ameamishia makzi yake huko ughaibuni, Lucy Komba kupitia ukursa wake mtandaoni amebandika picha hizi kama TBT zake kwa siku ya leo.
Tofauti na mastaa wengi wa kike ambao wengi wao wejikita kwenye kuamini mikorogo, wengi wamempongeza staa huyu kwa kuweza kuitunza ngozi yake ya asili.
Jionee picha hizo hapo juu
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Jul
Lucy Komba Awashukia Walioiponda Picha Hii
Staa wa Bongo Movies alieamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye ameolewa na ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Lucy alianza kwa kuweka picha hiyo ya kuchora ambayo ndiyo ilileta utata na kuibua majibizano ya maneno kati ya watu ambao waliona kuwa picha hiyo haina shida na wengine wengi wakisema picha hiyo haina maadili na ukizingatia yeye ni mke wa mtu.
“Mshamba anataka attention...
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Picha: Lucy Komba Awarambisha Watu Ndimu.....
Vijimambo: Mwigizaji wa filamu na mrembo mwenye kujivunia rangi yake, Lucy Komba ambae kwasasa anaishi Ulaya pamoja na mumewe Janus, usiku wa jana alibandika picha hizi mtandaoni akiwa anadendeka na mumewe wakiwa sehemu ya wazi na kuandika maneno ambayo bila shaka walengwa wamemuelewa.
“Zisikutishe kelele za mende wakati kunguru akikuona anakukimbia kwa woga”-Lucy aliandika.
Wadada wa town wanakwambia kwa picha hizi bidada amemaliza,watu wasiowapenda na kuleta figisu figisu lazima watafute...
10 years ago
Bongo Movies09 Sep
Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHGyNSEW0ZEsIibvlNKLUXO-eDWPkqbg7byRZv92AoLAFowR-kYcgIhn*5onmdxh5ks0JIISkg2xF5SaeUPNDkp/BACKAMANI.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPOXF*VFLZM20sRL3CmXW2HDwL2o09s-K1Jst9X2mb0YoPRohMqGxxN*Co3b6U3HvzLccpJ4YvflV85wwGkR4OK1/lucy.jpg)
NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg-47Wb6wnpqauvPTXWWS0nxZt1yzaBFdx183zJO7IqT04V-gqvT8IdmGsp5wvpZ0UlHpz*90fKsRE5ErOfah5VN/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: MIMI NI ZAO LA TYSON
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwGUJwIoEK9JWuYzlzq9IwqFSwlm*RBNbPBELeKO9kX51oqreOcviI3*EQiPWLepflkbV62JRsuk2UxGWjV5qyQH/kichen.jpg)
KICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-ux0uZwioODkLn-kdBWSLy6izUPtRbVr5NetkXv0sCQQCTG7SK6iFuVuR9WEJbIwVEa7OyFftVMZVUEzbPOLXKE/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!