Picha: Richard Bezuidenhout wa Big Brother atangaza kurudi kwenye ulimwengu wa filamu
Baada ya kutosikika kwa muda mrefu, mwakilishi wa Tanzania na mshindi wa msimu wa pili wa shindano la Big Brother Africa la mwaka 2007, Richard Bezuidenhout ametangaza kuvunja ukimya huo na kurejea kwenye ulimwengu wa filamu.
Richard ametumia akaunti yake ya Instagram kutangaza kuwa anarudi kwenye filamu. “Najua nilikua kimya saaaana. Sasa narudi rasmi kwenye muvies… stay tuned” aliandika Richard na kupost picha akiwa location.
On location of “mchumba sio atm machin”- Richard
Richard...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Sep
Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?
9 years ago
Bongo512 Nov
Richard wa Big Brother aeleza sababu za kuhamia Canada anakoishi sasa
![Richard-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Richard-1-300x194.jpg)
Siku chache zilizopita mshindi wa Big Brother Africa (2007) Richard Bezuidenhout, alishare picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa location na kuandika kuwa anarejea tena kwenye ulimwengu wa filamu baada ya kimya kirefu.
Richard ambaye kwa sasa anaishi na familia yake nchini Canada, ametoa sababu za kuhama Tanzania na kukaa kimya muda mrefu bila kutoa filamu yoyote.
“Unajua nilivyoshinda Big Brother nikapiga movie kadhaa, nikaenda Nigeria nikapiga movie, nijaka Tanzania nikapiga movie...
10 years ago
Vijimambo06 Oct
10 years ago
Bongo501 Sep
Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi
10 years ago
Vijimambo12 Nov
MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-Yaq1IkHnq1I/VCAGyB8eUbI/AAAAAAAABJ4/_BPKhVRDt48/s72-c/BIG-BROTHER-AFRICA.jpg)
HAWA NDO WATAKAOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yaq1IkHnq1I/VCAGyB8eUbI/AAAAAAAABJ4/_BPKhVRDt48/s1600/BIG-BROTHER-AFRICA.jpg)
M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Ingia kutazama picha zao...
![](http://1.bp.blogspot.com/-cm7VznTzRbk/VCAGScYZIlI/AAAAAAAABJo/y7eBU-R-nz0/s1600/Idris.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WU1fzc2ZKU0/VCAGWOsqR2I/AAAAAAAABJw/ghLq5nVfsCc/s1600/laveda.jpg)
10 years ago
Bongo516 Oct
Elani (Kenya) kutumbuiza Jumapili hii kwenye Big Brother Africa