Pinda aonya viongozi wa CCM
AKIWA katika siku ya tatu ya ziara yake ya siku tano mkoani Iringa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameonya viongozi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuacha kuchagulia wananchi viongozi.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMANGULA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM SHINYANGA...AONYA WAGOMBEA UCHAGUZI MKUU 2020
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Pinda aonya wanaoilinganisha Rwanda na Tanzania
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Pinda aonya matumizi ya rushwa uchaguzi mkuu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2015.
Waziri Mkuu Pinda ametoa onyo hilo jana alipokuwa akizungumza na mamia ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya uzinduzi wa Dayosisi mpya ya Ruvuma ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kuwekwa wakfu Askofu Amon Mwenda aliyeteuliwa kuongoza...
10 years ago
Mwananchi20 Jan
RC Njombe aonya viongozi kuhusu lumbesa
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AONYA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro akisoma jiwe la msingi aliloweka ikiwa ni ujenzi wa makazi ya Askari wa jeshi hilo kwenye eneo la FFU kata ya Muriet jijini Arusha pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na mbele yao ni Balozi wa heshima wa Serikali ya Dubai Fouad Martis wakifuatilia tukio hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulia akiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katikati na pembeni mwenye suti ya Bluu ni Balozi wa...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Mwenyekiti wa CCM aonya kutegemea matajiri
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amesema kitendo cha kutumia matajiri kama vyanzo vya mapato, kunadhalilisha chama hicho na haiwezi kuendelea kuvumiliwa.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Makongoro aonya visasi, ununuzi wa vikao vya maamuzi CCM
MGOMBEA nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, Makongoro Nyerere, amekitaka chama chake kuwatowaonea aibu wagombea wote waliokiuka kanuni za kuwania nafasi ya urais pamoja na wenye tuhuma za ufisadi na kuwaengua katika mchakato wa kugombea urais.
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
PINDA azungumza na viongozi wa dini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha mashauriano cha viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam ,Alhad...
11 years ago
Dewji Blog23 May
Pinda akutana na viongozi wa Lions Club
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club...