Pinda atembelewa na mtoto Albert
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mtoto Albert Kanan wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Ilalangulu wilayani Mlele ambaye alikwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu katika kijiji cha Kibaoni akiomba kupiga naye picha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LypQCpWgEzY/VWWNVB1eDUI/AAAAAAAHaFo/z5Wirudn8Vg/s72-c/unnamed.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEWA NA MTOTO ALBERT
![](http://4.bp.blogspot.com/-LypQCpWgEzY/VWWNVB1eDUI/AAAAAAAHaFo/z5Wirudn8Vg/s640/unnamed.jpg)
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Pinda, mtoto wa Katekista anayetamani kuwatumikia Watanzania
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda ni mmoja wa wanasiasa walioonyesha dhamira ya kuongoza taifa hili iwapo tu chama chake cha CCM kitamteua kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ooP2Dh2S4LY/VPWxlf62bZI/AAAAAAADQWM/JehA7Ul28L8/s72-c/MIZ2.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ahani Msiba wa wa mtoto wa Mama Kyendesya
![](http://3.bp.blogspot.com/-ooP2Dh2S4LY/VPWxlf62bZI/AAAAAAADQWM/JehA7Ul28L8/s1600/MIZ2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CMnMCvHQkpE/VPWxlQQvH2I/AAAAAAADQWI/8tTi6BA-l3w/s1600/MIZ1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pGPQO1bs0EE/VWNPejyqr_I/AAAAAAAHZxE/qmwjqrNDlnY/s72-c/unnamed%2B%252880%2529.jpg)
Dk. Salim atembelewa na Ugeni wa Jeshi la Uchina
![](http://3.bp.blogspot.com/-pGPQO1bs0EE/VWNPejyqr_I/AAAAAAAHZxE/qmwjqrNDlnY/s640/unnamed%2B%252880%2529.jpg)
9 years ago
MichuziNAIBU SPIKA ATEMBELEWA NA BALOZI WA CUBA
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
MO atembelewa na Balozi wa Canada nchini, Mh. Alexandre Leveque
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (kushoto) katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini kwake mara baada ya mazungumzo.
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS-MAZINGIRA BINILITH MAHENGE ATEMBELEWA NA MABALOZI WA UTURUKI LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm843eLeNvItcLqlXOyxO-ipFF17AV7L-1zQi3PHBOK6gz7GB1S7nfbstcBlhXet8xCZ7q0DiBX8NAWp157CTXjU/ludewa.jpg)
RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya wa chama hicho ambao leo Juni 16, 2014 wanahitimisha ziara ya siku nne ya mafunzo mjini Dodoma na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja...
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Boti la wakimbizi lazama Ziwa Albert
Miili 25 imepatikana katika Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kuzama
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania