Pinda, mtoto wa Katekista anayetamani kuwatumikia Watanzania
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda ni mmoja wa wanasiasa walioonyesha dhamira ya kuongoza taifa hili iwapo tu chama chake cha CCM kitamteua kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA - MAJALIWA
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa...
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
Mo apata tuzo nyingine, adhihirisha tamaa ya kuwatumikia watanzania
Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akitembea kwenye ‘Red Carpet’ mara baada ya kuwasili katika hotel ya Hilton Sandton jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye hafla ya utoaji tuzo iliyoandaliwa na jarida maarufu la Forbes na kutunukiwa tuzo ya “Forbes Africa Person Of the Year 2015”.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Modewjiblog team
MFANYABIASHARA na mtu mwenye taasisi ya kusaidia jamii, Mohammed Dewji maarufu...
11 years ago
Mwananchi05 May
Padri, katekista wafariki ajalini
10 years ago
MichuziMH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Pinda azungumza na Watanzania London
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai 11, 2014...
11 years ago
Habarileo20 Apr
Watanzania dumisheni Muungano-Pinda
WATANZANIA wametakiwa kila mmoja kwa nafasi yake kuulinda, kuimarisha na kuudumisha Muungano kwa kutafuta na kuhakikisha ushirikiano wa kindugu uliopo unadumishwa.
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Pinda azungumza na Watanzania Japan
NA MWANDISHI WETU, TOKYO
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema mauaji ya albino yanayojirudiarudia nchini yanachafua heshima na jina la Tanzania kwa kuwa yanakwenda kinyume na haki za binadamu.
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Japan kwenye ubalozi wa Tanzania jijini Tokyo juzi, Pinda alisema kukosekana kwa hofu ya Mungu na elimu kwa baadhi ya watu nchini ndiyo chanzo cha mauaji hayo.
Alisema binadamu yeyote anayemwamini Mungu na kushika maagizo yake hawezi kudanganyika wala kushawishika...
10 years ago
Dewji Blog27 May
Pinda atembelewa na mtoto Albert
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mtoto Albert Kanan wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Ilalangulu wilayani Mlele ambaye alikwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu katika kijiji cha Kibaoni akiomba kupiga naye picha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Michuzi28 Aug
ABBAS MAZIKU: MFANYABIASHARA ANAYETAMANI KUFUATA NYAYO ZA BILIONEA MO DEWJI
Na Mwandishi WetuBIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika biashara...