Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mo apata tuzo nyingine, adhihirisha tamaa ya kuwatumikia watanzania

IMG_3351

Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akitembea kwenye ‘Red Carpet’ mara baada ya kuwasili katika hotel ya Hilton Sandton jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye hafla ya utoaji tuzo iliyoandaliwa na jarida maarufu la Forbes na kutunukiwa tuzo ya “Forbes Africa Person Of the Year 2015”.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Modewjiblog team

MFANYABIASHARA na  mtu mwenye taasisi ya kusaidia jamii, Mohammed Dewji maarufu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MO APATA TUZO NYINGINE AFRIKA YA KUSINI


DSC_4663Mwanzilishi na mchapishaji wa jarida la Forbes Afrika, Bw. Rakesh Wahi ( wa pili kushoto) akikamkabidhi Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (wa pili kulia) tuzo ya Heshima Barani Afrika "2015 Forbes Africa Person of the Year" iliyotolewa na Jarida la Forbes Afrika kwa kutambua mchango wake katika kusaidia jamii ikiwemo kutoa ajira kwa zaidi ya watu 26,000 nchini na mambo mengine yanayoigusa jamii. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

9 years ago

Michuzi

TUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda, mtoto wa Katekista anayetamani kuwatumikia Watanzania

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda ni mmoja wa wanasiasa walioonyesha dhamira ya kuongoza taifa hili iwapo tu chama chake cha CCM kitamteua kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

magufuli*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija

 

Na Bakari Kimwanga, Iringa

 

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.

Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wamekata tamaa kujifunza Kiingereza

WATANZANIA wengi wamekata tamaa ya kujifunza Kiingereza pia wanaigopa lugha hiyo. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu wa Mradi vitabu vya Watoto ‘Children’s Book Project’, Pilli Dumea...

 

10 years ago

GPL

JEURI YA FEDHA: APATA AJALI NA LAMBORGHINI YA MIL 675, ASEMA ATANUNUA NYINGINE KESHO YAKE

Lamborghini Gallardo baada ya kugonga mti na kuparamia vizuizi vya barabarani. KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari aina ya Lamborghini Gallardo huko nchini England ametoa mpya baada ya kupata ajali na kuwaambia mashuhuda kuwa kesho yake angenunua gari lingine kama hilo. Gari hilo la thamani likiwa limeharibika baada ya ajali. Mmiliki huyo alipata ajali katika eneo la Beaumont Leys, Leicestershire baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani