TUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA - MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-m3EnQz3obIs/Vltux01FLsI/AAAAAAAIJFg/O_nSR_6S0Ww/s72-c/kassim.jpg)
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Pinda, mtoto wa Katekista anayetamani kuwatumikia Watanzania
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
Mo apata tuzo nyingine, adhihirisha tamaa ya kuwatumikia watanzania
Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akitembea kwenye ‘Red Carpet’ mara baada ya kuwasili katika hotel ya Hilton Sandton jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye hafla ya utoaji tuzo iliyoandaliwa na jarida maarufu la Forbes na kutunukiwa tuzo ya “Forbes Africa Person Of the Year 2015”.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Modewjiblog team
MFANYABIASHARA na mtu mwenye taasisi ya kusaidia jamii, Mohammed Dewji maarufu...
9 years ago
Mtanzania30 Nov
….Watanzania tuombeeni Mungu-Majaliwa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim, amewataka Watanzania wamuombee kwa Mungu yeye pamoja na Serikali ya awamu ya tano chini Rais Dk. John Maugufuli, ili waweze kufanyakazi ya ukusanyaji wa mapato yatakayowanufaisha watu wote.
Majaliwa amesema watu wanaoamini kwamba hawawezi kufanyakazi kwa ajili ya kuliokoa Taifa waondoe dhana hiyo, kwani Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa masilahi ya Watanzania...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-IXaqdStwolQ/XklxlLsc5SI/AAAAAAALdms/pG6b_TER8BgxaJCdsZBMtVpQuXqFfE9TACLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault-3.jpg)
WATANZANIA WALIOPO WUHAN WAPO SALAMA-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-IXaqdStwolQ/XklxlLsc5SI/AAAAAAALdms/pG6b_TER8BgxaJCdsZBMtVpQuXqFfE9TACLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault-3.jpg)
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Februari 16, 2020) kwenye Kumbukumbu ya Mazazi ya Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayh...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kikwete: Tumedhamiria kusambaratisha uasi DRC
5 years ago
CCM BlogSERIKALI ITASHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WATANZANIA WOTE BILA YA UBAGUZI-MAJALIWA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s72-c/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s640/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f9cgpl6i_es/VlDAy_mPpyI/AAAAAAAIHso/NTYySkP7Hso/s72-c/b48c276f-7030-4d1e-af63-e2bdd41e0862.jpg)
WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-f9cgpl6i_es/VlDAy_mPpyI/AAAAAAAIHso/NTYySkP7Hso/s640/b48c276f-7030-4d1e-af63-e2bdd41e0862.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-C-lADXy_RZI/VlDAx5UUIYI/AAAAAAAIHsc/8TDjhMZUmJU/s640/b5425740-67e0-4ea3-9bb5-1ee65c28cb0c.jpg)