Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


….Watanzania tuombeeni Mungu-Majaliwa

Kassim+PHOTONa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim, amewataka Watanzania wamuombee kwa Mungu yeye pamoja na Serikali ya awamu ya tano chini Rais Dk. John Maugufuli, ili waweze kufanyakazi ya ukusanyaji wa mapato yatakayowanufaisha watu wote.

Majaliwa amesema watu wanaoamini kwamba hawawezi kufanyakazi kwa ajili ya kuliokoa Taifa waondoe dhana hiyo, kwani Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa masilahi ya Watanzania...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Magufuli zawadi ya Mungu kwa Watanzania



Na mdau Ruger KahwaAwali ya yote napenda kumpongeza Mh. Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu alipokuwa waziri wa ujenzi alikuwa anonyesha dhahiri kuwa ana nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, na sio maslahi yake mwenyewe na familia yake. Chama chetu cha CCM kilitambua hilo na kumpendekeza kuwa mgombea urais wa Tanzania. Naamini ndani ya chama kuna watu walikuwa na kiu na shauku ya kuwa marais kwa ajili yao na marafiki zao, lakini Mungu wetu...

 

9 years ago

Michuzi

TUMEDHAMIRIA KUWATUMIKIA WATANZANIA - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi

> ‘Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wetu wote wapumzike kwa amani.’ Amina.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WALIOPO WUHAN WAPO SALAMA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema vijana wa Tanzania wapatao 497 wanaosoma katika vyuo mbalimbali vilivyoko kwenye mji wa Wuhan nchini China wote wapo salama.Kwa sasa Mji wa Wuhan umewekewa zuio hakuna mtu anayeruhusiwa kutoka wala kuingia, lengo likiwa ni kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi hivyo. Mlipuko wa virusi vya corona ulianzia katika mji wa Wuhan.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Februari 16, 2020) kwenye Kumbukumbu ya Mazazi ya Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayh...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tujifunze kuweka afya mikononi, tusisubiri kudra ya wakubwa au mungu-3

Miaka yote niliyosafiri na kuishi ughaibuni nimebaini siri moja kuhusu afya. Wananchi wengi duniani hawaijali miili hadi wanapougua.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI ITASHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WATANZANIA WOTE BILA YA UBAGUZI-MAJALIWA

PMO_3740Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi gari la kubeba wagonjwa, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa  wilayani humo, Juni 24, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PMO_3593Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole, Ramadhani Hamadi mkazi wa Dar es Salaam aliyelazwa katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa  wakati alipotembelea Zahanati hiyo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MARY MWANJELWA ASISITIZA WATANZANIA WAMTANGULIZE MUNGU KATIKA JANGA LA CORON

 NAIBU WAZIRI, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa amewataka Watanzania waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19) huku wakimtanguliza Mungu.
“Hakuna njia nyingine yoyote isipokuwa kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu. Tuendelee kuchukua tahadhari wakati bado tunaendelea kumtumainia Mungu. Ni heri kumwishia Mungu, na Roho Mtakatifu atatupa njia ya kutoka hapa tulipo,” alisema.
Ametoa kauli hiyo jana jioni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani