Pinda awataka wanasheria wawe wazalendo
![](http://3.bp.blogspot.com/-amO68K6x_8U/VA8R7qqiRaI/AAAAAAAABoE/OUeMW4BGXOg/s72-c/MIZENGO%2BPinda.jpg)
Na Mwandishi WetuWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wanasheria kutoka nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki, waweke mbele maslahi ya wananchi wa kawaida wakati wanapoingia mikataba na wawekezaji kwenye sekta ya madini.Alitoa wito huo jana wakati akifungua semina ya siku tano juu ya mafunzo ya kuingia makubaliano na mikataba kwenye sekta ya madini kwa wanasheria wa sekta ya umma kutoka nchi wanachama wa Jumuia hiyo ulioanza leo kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar es Salaam.Akizungumza na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWATAKA VIONGOZI WAWE WAKWELI, WAADILIFU
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bOObZmFf0CQ/VOUW2SlK7DI/AAAAAAADZ3w/bMkMgTkhiYo/s72-c/5c003a005857ee318ddc7b03870f17a3.jpg)
MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWATAKA VIONGOZI WAWE WAKWELI, WAADILIFU
![](http://3.bp.blogspot.com/-bOObZmFf0CQ/VOUW2SlK7DI/AAAAAAADZ3w/bMkMgTkhiYo/s1600/5c003a005857ee318ddc7b03870f17a3.jpg)
MSICHANA Nyakaho Marungu (16) mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Baobab,iliyopo Mapinga Bagamoyo mkoani Pwani aliyeibuka mwanafunzi bora wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 nchini, amewataka viongozi nchini kuwa wakweli na waadilifu ili kuiletea nchi maendeleo na kutokumuudhi Mwenyezi Mungu.Akizungumza na GPL nyumbani kwao...
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Pinda afungua semina ya wanasheria wa serikali wa Afrika ya Mashariki
Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), Vivianne Yeda (kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya EADB,Khadija Simba baada ya kufungua Semina ya Wanasheria wa Serikali wa nchi za Afrika ya Mashariki ya kuwajengea uwezo wanasheria hao katika kuchambua na kufikia mamuzi ya mikataba ya uvunaji maliasili za mataifa hayo,. Semina hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya White sands jijini Dar es salaam...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Awataka wajumbe kuwa wazalendo
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Nagu awataka wadau wa sukari kuwa wazalendo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Hp3MBZpIeok/XncIGQOOIBI/AAAAAAALkrw/CFCMzGBKvR48UZr04I2uNvqwC-vYKVF2ACLcBGAsYHQ/s72-c/3ef5b5ac-7cd6-46ef-a632-819d025f2620.jpg)
Waziri Bashungwa awataka wanaouza vitakasa mikono kuwa wazalendo
*Atembelea viwanda vya vinavyozalisha vitakasa mikono
Na Chalila Kibuda ,Michuzi Globu.
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imewaelekeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS),kushirikiana kwa karibu na wazalishaji waliopo na wengine wapya wanaonesha nia ya kuzalisha bidhaa ya Vitakatisha Mikono kuona ni namna wananvyoweza kuongeza upatikanaji wa bidhaa hiyo sokoni.
Wizara kwa kushirikiana na taasisi zake za usimamizi wa soko,itaendelea kufanya ukaguzi na uchunguzi sokoni ili kubaini...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AgUFv3kamzA/VVCv2pOdd1I/AAAAAAAHWo4/87BMqd4K8xM/s72-c/mama-salma.jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA VIJANA KUWA WAZALENDO NA KUTOKUBAGUANA BALI WASAMBAZE UPENDO
![](http://2.bp.blogspot.com/-AgUFv3kamzA/VVCv2pOdd1I/AAAAAAAHWo4/87BMqd4K8xM/s400/mama-salma.jpg)
Vijana mkoani Lindi wametakiwa kuwa wazalendo na kutobaguana bali wasambaze upendo na kujiona wote ni sawa kwa kufanya hivyo wataondoa chuki na kudumisha amani, mshikamano na umoja katika jamii inayowazunguka.
Mwito huo umetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua klabu zalendo zilizopo katika Manispaa ya Lindi.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alisema kama jamii itajenga tabia ya ubaguzi italeta chuki na upendo utatoweka na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-a2AmfGQwHa8/VQwb5XCk48I/AAAAAAAAGo0/O4V4DkqAN-U/s72-c/IMG_5477.jpg)
WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-a2AmfGQwHa8/VQwb5XCk48I/AAAAAAAAGo0/O4V4DkqAN-U/s1600/IMG_5477.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ALGBkEbPxUY/XkuW8e-rxEI/AAAAAAAA8mY/6JdjBOj_nMw2puCvFi57iaRBrR6LFJDyQCNcBGAsYHQ/s72-c/MOZENGO.jpg)
PINDA: AWATAKA WATANZANI KUACHA KASUMBA YA KUAMINI WAGENI KWENYE UWEKEZAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ALGBkEbPxUY/XkuW8e-rxEI/AAAAAAAA8mY/6JdjBOj_nMw2puCvFi57iaRBrR6LFJDyQCNcBGAsYHQ/s640/MOZENGO.jpg)
WAZIRI Mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mizengo Pinda amewataka watanzania kubadilika kwa kuacha Kasumba ya kuamini wageni kuja kuwekeza katika fulsa mbalimbali zilizopo nchini ili kufikia uchumi wa kati ambao utaboresha maisha ya watanzania kwa ujumla.
Pinda alikuwa mgeni rasmi katika kufunga Kongamano la biashara Mkoani Songwe alitanabaisha kuwa ili kufikia uchumi wa kati ambao Rais Magufuli anausisitiza ifikapo 2025 alisema watanzania wanatakiwa kubadilika kwa kiasi...