Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO NA MIKOANI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.  Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine  za TRA, Ofisini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO

Wafanyabiashara wa Kariakoo wakiwa katika mgomo wa kutumia mashine za Kodi za TRA (EFD).
Wafanyabiashara hao wakiwasikiliza viongozi wao (hawapo pichani)  (STORI/PICHA NA GLOBAL WHATSAPP +255 753 715 779) Wafanyabiashara wa Kariakoo waliokuwa katika mgomo…

 

10 years ago

Mtanzania

Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo

Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji  wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande

Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).

Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara shimoni Kariakoo walilia taa

WAFANYABIASHARA wa soko kuu la Kariakoo eneo la shimoni, wameutaka uongozi wa soko hilo kuboresha miundombinu ya taa na viyoyozi ili kunusuru afya zao. Wakizungumza na Tanzania Daima kwa nyakati...

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA KARIAKOO DAR WAGOMEA MASHINE ZA EFD

Baadhi ya maduka yaliyoko  mitaa mbalimbali ya Kariakoo yakiwa yamefungwa. BAADHI ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamegoma kufungua maduka wakidai warudishiwe mashine za mkono za awali badala ya zile za EFD, wakisema zinatumia ‘network’ na inapokuwa  haipo panakuwa na  usumbufu kwa wauzaji na wateja. Kamera ya  GPL imezunguka maeneo… ...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aahidi kumshughulikia Katibu Tarafa Kariakoo Dar

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza watendaji katika Manispaa na Jiji waliohusika kunyang’anya mali za wafanyabiashara mbalimbali kwa kisingizio cha kusafisha jiji na kugawana badala ya kupeleka kunakoruhusiwa kuchukuliwa hatua huku akiahidi kumshughulikia Katibu Tarafa wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda azungumza na Watanzania London

PG4A5022

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini  Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

PG4A5031

 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AZUNGUMZA NA VIJANA WA MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na vijana kutoka kata za Kibaoni na Usevya wilayani Mlele mkoani  Katavi waliomtembelea nyumbani kwake Kibaoni  leo akiwa kwenye mapumziko na Krismas na Mwaka mpya. Katikati  mwenye miwani ni Mzee Chrisant MzindakayaPicha na PMO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani